Reeva Steenkamp alimuogpa Pistorius
Aliyekuwa mpenzi wa Oscar Pistorus, marehemu Reeva Steenkamp, alimtumia ujumbe wa simu kumwambia kuwa wakati mwingine huwa anamuogopa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo526 Oct
Oscar Pistorius na Reeva Steenkamp hawakuwahi kufanya mapenzi — asema Mama Reeva
11 years ago
BBC
11 years ago
BBC
11 years ago
BBC
VIDEO: Timeline of Reeva Steenkamp's death
11 years ago
BBC
Pistorius quizzed on Reeva evidence
11 years ago
StarTV22 Oct
Pistorius:Familia ya Reeva yaridhika
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya mauaji bila ya kukusudia.
Jaji aliyetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo itaridhisha pande zote kwenye kesi hiyo.
Pistorius aliondoka mahakamni na...
11 years ago
BBC
VIDEO: Pistorius quizzed on Reeva evidence
11 years ago
BBC
Steenkamp family protest at verdict
10 years ago
BBC
Steenkamp parents criticise verdict