Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Oxfam yaanzisha Kombe la dunia mbadala

Shirika la kutoa huduma za kibinadamu, Oxfam, limeanzisha shindano la kombe la dunia mbadala linaloshirikisha mataifa washiriki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

kombe la dunia brazil?

 Hapana. Hawa ni sehemu ya wadau kutoka sehemu mbalimbali ya nchi zaidi ya 10,000 waliofika asubuhi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwa ajili ya usaili wa kazi katika Idara ya Uhamiaji, kuwania nafasi takriban 70 zilizotangazwa 

 

11 years ago

BBCSwahili

Historia ya kombe la dunia

Mihemko imeanza kushuhudiwa kabla ya kombe la dunia kuanza Brazil. Je unajua historia ya kombe hilo na baadhi ya wachezaji waliowakilisha Afrika?

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Habarileo

Makahaba kuneemeka Kombe la Dunia

MAKAHABA takribani milioni moja wanaoishi Brazil wanatarajiwa kupata mapato makubwa wakati wa Kombe la Dunia lililoanza Alhamisi nchini humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Suarez shakani Kombe la Dunia

>Luis Suarez huenda akakosa fainali za Kombe la Dunia baada ya kubainika kuwa anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa goti haraka kutokana na kuumia mazoezini juzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Michuano ya kombe la dunia yarindima

Ubelgiji iliicharaza Urusi bao moja bila....wengi wanasema michuano hii ina mizengwe kwani matokeo wanayoshuhudia hawakuyatarajia

 

10 years ago

BBCSwahili

Kombe la dunia la kriketi mitaani

Mchuano wa kombe la dunia la kriketi

 

9 years ago

BBCSwahili

Michezo ya mchujo kombe la dunia

Michezo ya raundi ya pili ya kuwania tiketi ya kucheza kombe la dunia la mwaka 2018, litakalofanyika nchini Urusi kuendelea leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani