Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAC yaishauri Serikali namna ya kuinusuru kampuni ya TTCL

Mwenyekiti-wa-Kamati-ya-Kudumu-ya-Bunge-ya-Hesabu-za-Serikali-PAC-Kabwe-Zitto-kulia-na-Makamu-Mwenyekiti-wa-Kamati-hiyo-Deo-Filikunjombe-wakiwa-katika-majukumu-yao.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe wakiwa katika majukumu yao.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa katika majukumu.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa katika majukumu.

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa mapendekezo ya kuinusuru Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kutokana na hali mbaya ya kampuni hiyo kifedha kwa sasa ambapo inaendeshwa kwa hasara huku ikiwa na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PAC YAISHAURI SERIKALI NAMNA YA KUINUSURU KAMPUNI YA TTCL‏

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe wakiwa katika majukumu yao. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa katika majukumu. KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa mapendekezo ya kuinusuru Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kutokana na hali mbaya ya kampuni hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

makala mpya ya sheria: MILIKI KAMPUNI , JIFUNZE NAMNA YA KUUNDA KAMPUNI

Na Bashir YakubNi ukweli usiofichika kuwa  biashara  na ujasirimali  kwa pamoja vimekua  kwa kiwango kikubwa. Hili linatokana na sababu nyingi ikiwemo ya kukua kwa biashara za kimataifa, maendeleo ya mawasiliano, marekebisho ya baadhi ya sera za nchi na sababu nyinginezo. Hali  hii imeleta ugumu kwa wanaofanya biashara nje ya kampuni. 
Si rahisi kufanikiwa katika biashara bila kuifanya biashara yako katika mtindo wa kampuni. 
Hata iwe ndogo ya kuuza mayai au kufuga kuku mafanikio zaidi ni pale...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

5 years ago

Michuzi

TAAnet YAISHAURI SERIKALI BAR NA VILABU VYA POMBE KUFUNGWA WAKATI HUU WA MAPAMBANO NA MARADHI YA COVID-19

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Mtandao wa Wadau wanaopambana na unywaji pombe kupita kiasi–TAAnet wameishauri serikali kutoa tamko la kufunga bar na klabu zote za pombe ili kudhibiti unywaji wa pombe na kuleta madhara makubwa kwa
binadamu ikiwemo kushusha kinga za mwili.

Hayo yamesemwa na mtandao huo wa TAAnet wakiungana kwa pamoja na serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya korona na kutambuliwa kama covid-19.

Katibu wa TAAnet Gladness...

 

10 years ago

Vijimambo

Arsenal yafanya mazungumzo na Kampuni ya TTCL

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili. Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na...

 

10 years ago

StarTV

Kampuni ya Simu TTCL yakanusha kufilisika.

Na Lilian Mtono,

Dar es Salaam.

Wakati taarifa za kufilisika kwa Kampuni ya simu nchini TTCL zikichukua nafasi hivi sasa, kampuni hiyo imekanusha madai hayo ikiwahakikishia watanzania maboresho ya huduma zake yatakayoanza kufanyika hivi karibuni na huduma bora zaidi kuanza kutolewa baadae mwaka huu.

 

Imesema, tayari imekwishasaini makubaliano ya maboresho hayo na kinachosubiriwa sasa ni kuanza kwa utekelezaji wake.

 

TTCL, kampuni tanzu ya huduma za mawasiliano hapa nchini, hivi sasa...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Arsenal yafanya mazungumzo na Kampuni ya TTCL

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili.Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Viongozi waipongeza kampuni ya TTCL Maonesho ya Sabasaba

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea Banda la TTCL katika maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Kibiashara katika viwanja vya Sabasaba. Mama Salma katika mazungumzo yake aliipongeza TTCL kwa kazi nzuri inayoifanya katika kuleta maendeleo nchini.

022

 Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Banda la TTCL kwenye viwanja vya maonyesho ya TANTRADE yanayoendelea jijini...

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezinduwa huduma mpya kabambe ambayo inampa mteja wa kapuni hiyo fursa ya kufurahia modem ya bure na vifurushi vya intaneti kwa bei nafuu, huduma ambayo imetolewa kama ofa kwa wateja hasa katika kuelekea siku kuu za Chrismas na Mwaka mpya.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya huduma hiyo, Meneja Huduma za Intaneti wa TTCL, Abdul Mombokaleo amesema kampuni ya Simu Tanzania imeamua kuzindua promosheni mpya ya “DILI LA UKWELI” inayotoa fursa ya mteja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani