Viongozi waipongeza kampuni ya TTCL Maonesho ya Sabasaba
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea Banda la TTCL katika maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Kibiashara katika viwanja vya Sabasaba. Mama Salma katika mazungumzo yake aliipongeza TTCL kwa kazi nzuri inayoifanya katika kuleta maendeleo nchini.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Banda la TTCL kwenye viwanja vya maonyesho ya TANTRADE yanayoendelea jijini...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/011.jpg)
VIONGOZI WAIPONGEZA KAMPUNI YA TTCL MAONESHO YA SABASABA
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Kampuni ya TTCL yatwaa Tuzo ya Maonesho ya Biashara Sabasaba…!
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.
Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.
![Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0147.jpg)
Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL...
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC_27111.jpg?width=650)
TTCL YASHINDA NAFASI YA KWANZA SEKTA YA HABARI NA MAWASILIANO MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABASABA)
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Kampuni ya simu ya mkonononi TIGO yavutia maonesho ya Sabasaba
Banda la Kampuni ya simu za mkononi Tigo lililopo Viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar es Salaam yanayoendelea.
Baadhi ya washiriki wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar es Salaam yanayoendelea wakipata hududuma mbalimbali katika banda la tigo.
Watoa huduma wa Kampuni ya simu tigo wakiendelea kutoa huduma mbalimbali kwa wananchi wanaoshiriki katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 39 Sabasaba jijini Dar...
11 years ago
Habarileo06 Jul
Kikwete avutiwa na maonesho Sabasaba
RAIS Jakaya Kikwete ametembelea Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Sabasaba kwa na kusema ameridhishwa na ubora wa bidhaa za Tanzania ulivyoongezeka, ikiwa ni pamoja na ufungashaji wa kisasa.
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
Rais Kikwete atembelea banda la TTCL maonesho ya kimataifa ya biashara
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena jana Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya juzi kutokamilika kutokana na muda.
Baadhi ya wafanyakazi na viongozi wakipiga picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete nje ya Banda la TTCL kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama SabaSaba jana Juai 6, 2014.
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shughuli za mkongo wa taifa wa...
11 years ago
Habarileo02 Jul
Balozi Seif kufungua maonesho ya Sabasaba leo
WAKATI maonesho ya Sabasaba yakiendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam, leo yanatarajiwa kufunguliwa rasmi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Dk Seif Ali Idd.
11 years ago
MichuziTPDC yaibuka kidedea kwenye maonesho ya Sabasaba
Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) limeibuka kidedea na kukabidhiwa kikombe cha ushindi katika kundi la mashirika ya petroli na mafuta nchini baada ya kuyabwaga chini mashirika megine mengi yaliyokuwa yanawania kikombe hicho katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Kikombe hicho kilikabidhiwa na mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo Makamu wa Pili wa Rais wa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-r0y4ejXO6xg/U7v6bW7VlKI/AAAAAAAFyTo/-g5HTWuuVRM/s72-c/unnamed+(75).jpg)
BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA
![](http://4.bp.blogspot.com/-r0y4ejXO6xg/U7v6bW7VlKI/AAAAAAAFyTo/-g5HTWuuVRM/s1600/unnamed+(75).jpg)