Papa Francis ataka ulimwengu kuwaombea wenye shida
>Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis ,jana aliadhimisha sikukuu yake ya kwanza ya Krismasi tangu kuchaguliwa kwenye wadhifa huo huku akituma ujumbe wa matumaini kwa ulimwengu na kuwaombea wenye shida.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yn8z8hshnSzsmEtFULgSqp7EIBWm7u0rI*VBAzV1JlzKMK0G39aR9ZRgi0dRgkTMKHnbPqQEWFmYuuwHhcmY9P/1.jpg?width=650)
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo. Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…
10 years ago
MichuziFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili...
10 years ago
GPLFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiteta jambo na askofu wa kanisa Katoliki jimbo la Njombe Mhashamu Alfred Maluma Mbunge Filikunjombe akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye mazishi ya SR. Instrude maria
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini
kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge...
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Obama kukutana na Papa Francis
Rais wa Marekani ,Barrack Obama anatarajiwa kukutana na kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis.
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Maandalizi ya ziara ya Papa Francis
Papa Francis anatarajiwa kuanza ziara yake ya kwanza kabisa barani Afrika Jumatano Novemba 25.
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Papa Francis azungumzia familia
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani ameunga mkono haki ya wazazi kuchagua ukubwa wa familia zao.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Ziara ya Papa Francis, Kenya
Serikali ya Kenya imethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya kumpokea kiongozi wa kanisa katoliki papa Francis.
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Papa Francis atoa Mpya
Makasisi wa kanisa katoliki wanaangazia mafunzo ya familia, na kutoa wito wa kuwachukulia wenye mapenzi ya jinsia moja kwa usawa
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-A61dn6C-XI4/Xn1Q8fN9rFI/AAAAAAAC12g/zUrYcW76WXo4KV3FImXqW_3MwXcMwEbfwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.webp)
PAPA FRANCIS APIMWA CONONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-A61dn6C-XI4/Xn1Q8fN9rFI/AAAAAAAC12g/zUrYcW76WXo4KV3FImXqW_3MwXcMwEbfwCLcBGAsYHQ/s640/1.webp)
Papa Francis alipimwa virusi hivyo baada ya mmoja wa wachungaji anayeishi katika katika makazi yake kugundulika kuwa na corona.
Vyombo vya habari nchini Italia viliripoti kuwa mchungaji huyo ambaye ni ofisa wa sekretarieti ya jimbo aligundulika kuwa na virusi vya corona na kuzua hofu kuwa huenda Papa Francis naye ameambukizwa.
Kwa mujibu wa tovuti rasmi ya Vatican,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania