Party ya uzinduzi wa filamu ya James Bond, Spectre ilivyofana
![](http://3.bp.blogspot.com/-MVRx5TzYqLk/Vj8hK_gzVkI/AAAAAAAAL6o/oWuOTiIWz8E/s72-c/Wema%2Bkwa%2BJames%2BBond.jpg)
Na Mwandishi Wetu
WATU mbalimbali walihudhuria hafla ya uzinduzi wa filamu ya Spectre ya James Bond iliyofanyika Cape Town Fish Market chini ya udhamini wa Belvedere Vodka, Heineken, Jaguar pamoja na Land Rover.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo, mwakilishi wa kampuni ya QWAY International inayosambaza kinywaji cha Belvedere Vodka,Tanya Mulamula alisema hafla hiyo inalenga kuwakutanisha wadau na kuifurahia filamu hiyo, ikiwa siku moja kabla ya uzinduzi wake.
Filamu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Nov
Filamu mpya ya James Bond, Spectre yazinduliwa Dar
![JA6ud](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/JA6ud-300x194.jpg)
Mastaa mbalimbali nchini mwishoni mwa wiki hii walijumuika katika uzinduzi wa filamu mpya ya James Bond, Spectre uliofanyika Cape Town Fish Market jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi wa filamu hiyo iliyoigizwa na muigizaji wa Uingereza Daniel Craig kama James Bond, uliratibiwa na kampuni ya QWAY International.
Pamoja na Fish Market, filamu hiyo ilizinduliwa kwenye majumba mengine ya sinema nchini na duniani kote.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo mwakilishi wa kampuni ya...
9 years ago
Bongo503 Oct
Video: Trailer ya mwisho ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’
9 years ago
Bongo511 Nov
Filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ yaweka rekodi mpya ya ‘Guinness World Record’
![James Bond-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/James-Bond-1-300x194.jpg)
Filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ imeweka rekodi mpya ya Guinness World Record kwa kuwa filamu yenye mlipuko mkubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya filamu (Largest Film Stunt Explosion).
Waigizaji Daniel Craig, Léa Seydoux na producer Barbara Broccoli wa filamu hiyo hivi karibuni walikabidhiwa official Guinness World Records certificate baada ya filamu hiyo kuvunja rekodi hiyo.
Mlipuko huo ambao ulitengenezewa Erfoud, Morocco ulifanikishwa kwa kutumia lita 8,418 za mafuta ya taa,...
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Uzinduzi wa filamu ya James Bond umesongezwa hadi Novemba
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Filamu ya James Bond yazinduliwa Dar
Na Theresia Gasper, Dar es Salaam
WADAU na watu maarufu mbalimbali hapa nchini mwishoni mwa wiki walijumuika katika uzinduzi wa filamu mpya ya Spectre James Bond iliyofanyika Cape Town Fish Market jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi wa filamu hiyo iliyoigizwa na Daniel Craig kama James Bond, uliratibiwa na kampuni ya QWAY International chini ya udhamini wa kinywaji cha Belvedere Vodka ikishirikiana na Heineken, Jaguar pamoja na Land Rover.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo...
5 years ago
Bongo514 Feb
Muigizaji wa filamu za James Bond afariki dunia
Muigizaji Clifton James, maarufu kama ‘JW Pepper’ kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.
Alifariki karibu na mji wa Gladstone, Oregon, siku ya Jumamosi kutokana na matatizo ya ugonjwa wa kisukari.
James alifahamika sana kutokana na uigizaji wake katika filamu za Bond za ‘Live and Let Die’ na ‘The Man with the Golden Gun’ miaka ya sabini.
Binti yake Lynn amesema: ”Alikuwa mtu mpenda watu na mwenye uwazi sana. Alipendwa sana na kila mtu.”
Aliongeza: “Sidhani...
9 years ago
Bongo528 Sep
Music: Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond iliyoimbwa na Sam Smith — ‘Writing’s On The Wall’
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Filamu ya Stars Wars ilivuma kushinda Spectre
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
James Bond akana kum'bagua Idris Elba