PATACHIMBIKA
NA MWANDISHI WETU
PATACHIMBIKA ndilo neno linaloakisi ushindani mkubwa wa kisiasa unaotarajiwa kutokea baada ya pazia la kampeni za wagombea urais, ubunge na udiwani kufunguliwa rasmi leo.
Ushindani huo unatarajiwa kuwa mkali zaidi kuliko chaguzi zilizopata kufanyika huko nyuma na hali hii inachagizwa zaidi na uhalisia wa mazingira ya kisiasa ambayo yalianza kuonekana mapema kabisa kabla ya
kampeni kuanza.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimemsimamisha Dk. John Magufuli kugombea urais,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Jul
Yanga, Azam patachimbika
YANGA na Azam zinakutana leo kwenye mechi ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Vijana ‘City Bulls’, Pazi patachimbika Ligi ya RBA Azam
10 years ago
Mwananchi13 May
KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero