PATO LA TAIFA ROBO YA KWANZA YA MWAKA 2015 LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.9
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Morrice Oyuke (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu pato la taifa robo ya kwanza ya mwaka kuanzia Januari hadi machi 2015. Kushoto ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa, Daniel Masolwa.
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Morrice Oyuke (kulia), akisisitiza jambo katika mkutano huo.
Wapiga picha za habari na wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MYxE5erONNI/VO8kY7uIGhI/AAAAAAAHGC0/-LvtUnxdJKg/s72-c/unnamedM.jpg)
PATO LA TAIFA LAONGEZEKA, LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.2.
![](http://2.bp.blogspot.com/-MYxE5erONNI/VO8kY7uIGhI/AAAAAAAHGC0/-LvtUnxdJKg/s1600/unnamedM.jpg)
Aron Msigwa –MAELEZO.
Pato la Taifa (GDP) katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2014 limeongezeka hadi kufikia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT1UngaSaklNUUPvR2ZCiyHH3zjfAeWFEyyYWiIsg5*xeczjkC53egh1DB6arZ-tS8OpVYQbPerz5Vfk*vbNBRgM/NBS2.jpg)
PATO LA TAIFA LAONGEZEKA, LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.2.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-e_Lx40LAhyU/Vc174OCQHrI/AAAAAAAHwfg/dtuGMlucYuQ/s72-c/PICHA%2BNO.3.jpg)
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MATOKEO YA TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA YA KWANZA YA MWAKA 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-e_Lx40LAhyU/Vc174OCQHrI/AAAAAAAHwfg/dtuGMlucYuQ/s640/PICHA%2BNO.3.jpg)
10 years ago
Habarileo27 Feb
Pato la Taifa lafikia trilioni 21
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza pato la taifa ambalo linaonesha kuwa thamani ya pato hilo katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu imefikia Sh trilioni 21.2.
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014
10 years ago
Vijimambo30 Apr
Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mkuya-30April2015(1).jpg)
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.
Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.
Waziri wa Fedha, Saada Salum...
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Pato LAPF lafikia bil. 167/-
MFUKO wa Pensheni wa LAPF umekua kwa asilimia 12 ya pato lake na kufikia makusanyo ya michango na faida ya uwekezaji sh bilioni 167.9 mwaka 2012/13 ikilinganishwa na sh bilioni...
11 years ago
Habarileo01 Jan
Pato la Mkoa wa Tanga lafikia tril. 2.099/-
PATO ghafi la Mkoa wa Tanga (GDP) limeongezeka na kufikia wastani wa Sh trilioni 2.099 kwa mwaka 2013 kutoka wastani wa Sh trilioni 1.78 mwaka 2012. Hali hiyo imefanya mkoa kushika nafasi ya nane kitaifa.
10 years ago
Dewji Blog21 Dec
Serikali yazindua rasmi usambazaji takwimu za pato la taifa, pato la mwanachi laongezeka
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 jijini Dar es salaam.
Na Aron Msigwa – MAELEZO
Serikali imesema kuwa Pato la Taifa kwa mwaka 2007 limeongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 26.8 ikilinganishwa na trilioni 20.9 za mwaka 2001, ambapo wastani wa pato la mwananchi mmoja mmoja limeongezeka kutoka shilingi milioni1,186,200/= mwaka 2001 hadi shilingi milioni 1, 561,050/= mwaka 2013.
Akizindua...