Penicillin inatibu magonjwa yanayoambukizwa na bakteria
Penicillin ni dawa inayotutumika kutibu magonjwa yanayoambukizwa na bakteria kama vile homa ya matumbo, nimonia, matatizo mfumo wa juu wa upumuaji, matatizo katika mifupa kutoa usaha na mengineyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Virusi vya corona: Jifahamishe kwa nini ni vigumu kutibu magonjwa ya virusi ikilinganishwa na yale ya bakteria
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Coronavirus na chloroquine: Je kuna ushahidi kwamba dawa hii inatibu?
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Mdalasini husaidia kulinda meno, fizi dhidi ya bakteria
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Magonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, na takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni.
Magonjwa haya ya moyo yanasababisha vifo vipatavyo idadi ya watu milioni 12 kwa mwaka duniani kote. Hata hivyo shirika la Afya...