PICHA CHAFU ZA WEMA, DIAMOND ZATINGA BUNGENI
![](http://api.ning.com:80/files/w9JIhnUgjg-*t0jeYu1HXFoLqhQv4Z70vp9X-VTT-SrxmNGErWvZxMcy5SUgmf0aFkZSZkGlreeGJpWOQVzYLCLMdPG0eJT7/diamondpicha.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu Sakata la mastaa wakiwemo Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupiga picha chafu kisha kuzitundika mitandaoni limetinga bungeni baada ya juzikati baadhi ya wabunge kulishupalia. Mastaa Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa kwenye pozi la kimahaba Hilo liliibuka Suzi mjengoni katika kipindi cha maswali na majibu ambapo Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Saidi Mtanda alitaka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies29 May
Sakata la Zile Picha Chafu za Shilole Latinga Bungeni
Lile sakata la picha zisizo za maadili za Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva,Shilole alizopigwa nchini Ubelgiji akiwa kwenye shoo yake zimejadiliwa bungeni mjini Dodoma.
Naibu waziri wa wizara ya Habari,Vijana na Utamaduni na Michezo,Juma Nkamia aliamua kuomba radhi jana kwa niaba ya serikali kufuatia kitendo cha msanii huyo kuvaa nguo zisizo za maadili jukwaani.
Hivi karibuni baadhi ya picha za msanii huyo zilizagaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa jukwaani amevaa mavazi ambayo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi0HcbGS3D9aU8LnL9VNp-HL8QGb0FAueINoNbJUbalvOBmaRDMlXx3BX7a3LFVgZ38QedivhfSC-4T5-BR*2lTE/10431972_463896623744498_1233762046_n.jpg)
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
PICHA: Kitendo ya Dada yake Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni
Siku za hivi karibuni kumeibuka na mtindo mpya wa watu kulishana keki wa kutumia mdomo yaani “Kudendeka”.
Picha ya mrembo na mwigizaji wa filamu Wema Sepetu akilishwa keki kwa mdomo na dada yake Diamond, Esma imeibua mjadala mtandaoni baada ya baadhi ya watu kudai kuwa Wema anataka kumrusha roho Zari ambae awari aliandika ujumbe mtandaoni na kumuita Esma WIFI. Huku wengine wakiona kama ni kawaida kwani kwa kiasi kikubwa Wema ndio aliewawezesha Esma na Petti Man wakafunga ndoa.
Tukio hilo...
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy
Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”
Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Picha chafu zamfikisha rumande Uganda
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Mziwanda Aomba Radhi kwa Picha ya Chafu
Nuhu Mziwanda ambae ni mchumba wa mwanamuziki na muigizaji Shilole (Shishi baby) ameomba radhi jana kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kupost picha ambayo inaonyesha maungo ya ndani ya mpenzi wake huyo walipokuwa wakioga.
Picha hiyo ilimuonyesha Shilole akiwa kifua wazi. Kwa mujibu wa Nuhu Mziwanda amesema kuwa alipost picha hiyo ili apate Kiki kwa ajili ya video yake mpya Zimataa ambayo bado haijatoka mpaka sasa.
Baada ya juzi usiku Nuhu Mziwanda kupost picha hiyo kwenye ukurasa...