Picha: Wananchi wa Venezuela wamkalia kooni Rais Nicolas Maduro
Maandamano ya kumpinga Rais Nicolas Maduro wa Venezuela, yameingia katika siku ya pili nchini humo katika mji mkuu wa Caracas.
Maelfu ya raia wa nchi hiyo wameendelea kuandamana wakiongozwa na viongozi wa vyama vya upinzani, huku wakimtaka rais huyo kuachia madaraka, kutokana na mwenendo mbaya wa kiuchumi unasimamiwa na serikali yake.
Mmoja wa waandamanaji hao ambaye alitambulika kwa jina la Sandra Vanessa, ameiambia Al Jazeera kwamba “Pamoja vurugu zinazoendelea nchini lakini wito huu ni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBC14 Jun
Businessman close to Venezuela's Nicolás Maduro arrested in Cape Verde
9 years ago
Bongo506 Nov
Picha: Dkt John Magufuli aapishwa kuwa Rais wa Tanzania, aahidi kuwatumikia wananchi ‘nina deni kubwa’
![ma35](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/ma35-300x194.jpg)
Dokta John Pombe Magufuli, Alhamis hii ameapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyohudhuriwa na wananchi pamoja na viongozi wa nchi mbalimbali barani Afrika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli akiapishwa Alhamis hii
Ikiwa ni siku iliyotangazwa na Rais aliyeondoka madarakani Jakaya Kikwete kuwa ya mapumziko, wananchi wengi walishuhudia kuapishwa kwa Magufuli kupitia runinga zao. Wengine walisikiliza matangazo...
10 years ago
BBCSwahili10 Apr
Maduro aitaka Marekani kuondoa vikwazo
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: MWANA DIASPORA NA MBIO ZA UBUNGE: WANAMWITA RAIS WA MBARALI
10 years ago
Bongo522 Jul
Wakenya wamkalia shingoni Victoria Kimani baada ya kuwaambia hawasupport wasanii wao
11 years ago
BBCSwahili24 Jan
Nicolas Anelka Matatani
11 years ago
BBCSwahili15 Mar
West Brom yamtimua Nicolas Anelka
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Manchester City wambeba Nicolas Otamendi
9 years ago
Bongo521 Aug
Manchester City imekamilisha usajili wa nyota wa Valencia, Nicolas Otamend