Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Wastara Akichukua Fomu Mjini Morogoro

Morogoro nikiwa na viongozi wa CCM na jumuiya wa wilaya ya Morogoro mjini kwenye uchukuaji wa fomu ya ugombea ubunge wa viti maalum kupitia kundi la walemavu nimethubutu na naaamini na kutegemea mchango wenu...
Wastara on instagram
 

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wa Morogoro mjini wamnunulia fomu Abood ili aendelee kuwa mbunge wao Jimbo Morogoro mjini

 

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood akipokea michango ya wanafunzi waliojitokeza kumchangia mbunge huyu ili achukue fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi Mara baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya mambo mengi ya maendeleo ikiwemo kuwalipia ada zaidi ya wanafunzi 500 wasiokuwa na uwezo wa kujilipia ada na wanaoishi katika mazingira magumu.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood, akipokea kiasi cha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Irene Uwoya Akichukua Fomu, Viti Maalum Tabora

Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda
 

William Mtitu on Instagram

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida

Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na team yake alipokuwa mkoani Singida akichukua fomu kwenye ofisi za chama cha mapinduzi (CCM).

Wema anawania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya chama hicho.

 

10 years ago

Vijimambo

Afande Selle: Picha niliyopigwa nikiwa na boxer haitonikosesha ubunge wa Morogoro Mjini


Seleman Msindi aka Afande Selle anawania kuwa mbunge mtarajiwa wa jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi cha chama cha ACT Tanzania, na haogopi maneno ya ‘haters’ wanaotaka kukiwekea mchanga kitumbua chake kwa mambo yaliyopita.Bila shaka unakumbuka ile picha ambayo Afande alipigwa akiwa amevua nguo na kubakia na boxer tu jukwaani wakati akitumbuiza!
Mfalme huyo wa Rhymes anaamini kuwa picha haiwezi kumchafulia CV yake mbele ya waajiri wake watarajiwa aka wananchi wa Morogoro Mjini.
“Hainiumizi,...

 

10 years ago

Michuzi

NDEREMO ZATAWALA WAKATI Dk.Ali Mohamed Shein AKICHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha mkoba wa wenye fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa Fomu hizo katiuka Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanachama wa CCM waliofika Viwanja vya Jengo la Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo  wakati alipofika kuchukua fomu kuomba ridhaa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA MOROGORO MJINI,ABOOD ATOA MILION 11 KUTATUA KERO YA MAJI MKUNDI MOROGORO

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi Hilo Mh Abood Aliongea na Wanachama wa Tawi Hilo Kisha Kuwaelekeza Kujiunga Kwenye Vikundi vya Wajasiriamali Yeye Atakuwa Tayari kuwawezesha Mitaji ya Kufanya Shuguli za Kujiletea Maendeleo.
 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Meza Kuu Sambamba na Katibu wa CCM Kata Ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Morogoro mjini Mh Abood atoa milion 11 kutatua kero ya maji Mkundi Morogoro

20141231_144819

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi Hilo Mh Abood Aliongea na Wanachama wa Tawi Hilo Kisha Kuwaelekeza Kujiunga Kwenye Vikundi vya Wajasiriamali Yeye Atakuwa Tayari kuwawezesha Mitaji ya Kufanya Shuguli za Kujiletea Maendeleo.  Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Meza Kuu Sambamba na Katibu wa CCM Kata Ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani