Picha: Irene Uwoya Akichukua Fomu, Viti Maalum Tabora
Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda
William Mtitu on Instagram
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies13 Aug
Irene Uwoya Apitishwa na CCM Kuwa Mbunge Viti Maalum Kupitia Tabora
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya apitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC )kuwa mbunge viti maalum vijana mkoa wa Tabora.
Wengine waliopitishwa ni namba 1. Halima Bulembo 2. Zainab Katimba 3. Mariam Ditopile 4. Mary Kangoye 5. Kizigo 6. Irene Uwoya.
Hongera sana Uwoya.
Cloudsfm.com
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Bgv7PnLvuh8/VcFkLs-oitI/AAAAAAAD2dQ/YqUh3-qn4fM/s72-c/11800108_961164497280878_5219527663753180617_n.jpg)
Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
![](http://2.bp.blogspot.com/-Bgv7PnLvuh8/VcFkLs-oitI/AAAAAAAD2dQ/YqUh3-qn4fM/s640/11800108_961164497280878_5219527663753180617_n.jpg)
Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
-Amepata kura 38 huku mpinzani wake akipata kura 34Tarime Mjini na Tarime Vijijini zoezi la kupiga kura limeahirishwaKumetokea vurugu kwenye mchakato wa kura za maoni CCM hapa Tarime, kwani zimekutwa karatasi za kupigia kura zaidi ya 25000 zikiwa zimeshatikiwa majina ya wagombea wawili MH GAUDENSIA KABAKA (TARIME MJINI) na NYAMBARI NYANGW'INE (TARIME VIJIJINI).Kutokana na...
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Irene Uwoya aula viti maalum
NA BAKARI KIMWANGA, DODOMA
MSANII pekee wa Bongo Movie, Irene Uwoya, ameibuka kidedea kwenye uteuzi wa wagombea ubunge wa viti maalumu uliokamilishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) jana.
Uwoya alipata nafasi hiyo baada ya jina la mtoto wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ambaye pia ni mgombea wa CCM katika jimbo la Ubungo, Dk Didas Masaburi, Juliana Masaburi kukatwa.
Mtoto huyo wa Masaburi, alishinda kura za maoni kupitia kundi la Vijana akiwakilisha Mkoa wa Mara lakini baada ya kukatwa nafasi...
10 years ago
Bongo Movies17 Jul
Picha: Wastara Akichukua Fomu Mjini Morogoro
Morogoro nikiwa na viongozi wa CCM na jumuiya wa wilaya ya Morogoro mjini kwenye uchukuaji wa fomu ya ugombea ubunge wa viti maalum kupitia kundi la walemavu nimethubutu na naaamini na kutegemea mchango wenu...
Wastara on instagram
10 years ago
MichuziBinti yetu Zahara kura hazikutosha dhidi ya Irene Uwoya Tabora
Na Mkala Fundikira wa TBN kanda ya MagharibiLeo hii mchana binti ya mpiga picha na blogger maarufu nchini Muhidin Issa Michuzi Bi Zahara Michuzi alishindwa kupata kura za kutosha kumwezesha kushinda nafasi ya ubunge wa vijana kupitia tiketi ya CCM mkoa wa Tabora baada ya msanii wa filamu Bi Irene Uwoya kupata kura 34 kati ya 39 zilizopigwa.
Zahara ambaye ni mhitimu wa shahada ya uchumi toka chuo kikuu cha UDOM aliyakubali...
10 years ago
VijimamboZAHARA MUHIDIN MICHUZI KURA HAZIKUTOSHA DHIDI YA IRENE UWOYA TABORA
Leo hii mchana binti ya mpiga picha wa rais Kikwete katika na blogger maarufu hapa nchini, Muhidin Issa Michuzi Bi Zahara Michuzi alishindwa kupata kura za kutosha kumwezesha kushinda nafasi ya ubunge wa vijana kupitia tiketi ya CCM mkoa wa Tabora baada ya msanii wa filamu Bi Irene Uwoya kupata kura 34 kati ya 39 zilizopigwa.
Zahara ambaye ni mhitimu wa...
10 years ago
Bongo Movies17 Jul
Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida
Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na team yake alipokuwa mkoani Singida akichukua fomu kwenye ofisi za chama cha mapinduzi (CCM).
Wema anawania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya chama hicho.
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
PICHA KALI:Irene Uwoya Alivyolipamba Jarida La Vibe Tz
Jarida la maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz lililotoka hivi karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya amabe ni mrembo aliebarikiwa suru na umbo matata bila kusahau rangi yake,kitu ambacho huwafanya vidume wengi kupagawa na kuwa na mashabiki wengi wa kazi zake mbali nakipaji chake katika sanaa.
Japokuwa kuwa kwasasa ni mama wa mtoto mmoja , Uwoya amefanya kile kinaitwa siku hizi –KU-BREAK THE INTERNET, kwenye picha alizopigwa na jarida hilo.
Irene...
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
PICHA KALI:Irene Uwoya Alivyolipamba Jariba La Vibe Tz
Jarida la maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz lililotoka hivi karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya amabe ni mrembo aliebarikiwa suru na umbo matata bila kusahau rangi yake,kitu ambacho huwafanya vidume wengi kupagawa na kuwa na mashabiki wengi wa kazi zake mbali nakipaji chake katika sanaa.
Japokuwa kuwa kwasasa ni mama wa mtoto mmoja , Uwoya amefanya kile kinaitwa siku hizi –KU-BREAK THE INTERNET, kwenye picha alizopigwa na jarida hilo.
Irene...