PIGO BRAZIL
![](http://api.ning.com:80/files/oto4-hHdKDFpjmqTQRaOLgkDYbSt*01BH0k5fbTp*kjh7fK6rvEyUAvcY*hazk9TFK95t-QGbeRiksy3hFp-nymU0FSv2WmE/pigo.jpg?width=650)
STAA wa timu ya Brazil, Neymar hataendelea na michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya kuvunjika mfupa unaoshikana na uti wa mgongo wakati wa mechi yao na Colombia usiku wa kuamkia leo. Neymar akitolewa nje ya uwanja wakati wa Robo Fainali dhidi ya Colombia. Staa huyo mwenye mabao manne mpaka sasa kwenye michuano hiyo, alitolewa uwanjani dakika tatu kabla ya mechi yao dhidi ya Colombia kumalizika.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Jul
BRAZIL 2014: PIGO LA KARNE: Majonzi, vilio kila kona Brazil
11 years ago
Mwananchi05 Jul
BRAZIL 2014: Gustavo pigo kwa Brazil dhidi ya Colombia leo
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Neymar pigo kwa Brazil
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Brazil yakata rufaa kadi za njano za Thiago Silva
11 years ago
TheCitizen28 Jun
BRAZIL 2014: Brazil face Chile as Suarez-less Uruguay confront Colombia
11 years ago
Mwananchi09 Jun
BRAZIL 2014: Rio awatabiria akina Pogba kung’ara Brazil
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Mechi Brazil, Argentina yasubiriwa kwa hamu
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Brazil 2014: Neymar, Oscar waipamba Brazil mechi ya ufunguzi
11 years ago
Mwananchi10 Jun
BRAZIL 2014: Ishu ya posho yamalizwa, Cameroon yaenda Brazil