Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PINDA AFUNGA WIKI YA MAJI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa Mkonze katika Maanispaa  ya Dodoma katika kilele cha wiki ya maji leo Machi 22, 2014. Kushoto kwake ni Waziri wa Maji, Profesa  Jumanne Maghembe na kulia kwake ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka jiwe lamsingi la  mradi wa maji wa  tangi la maji la Chuo Kikuu cha Dodoma ikiwa ni moja ya shughuli za kilele cha wiki ya maji   Waziri Mkuu,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Dkt. Bilal afunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa mjini Musoma leo

Hussein Makame-MAELEZO, Musoma  MAKAMU wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohgamed Ghalib Bilal amesema kuwa kila ahadi ya Serikali iliyotolewa itatimizwa ili kuhakikisha kuwa inaacha kazi nyepesi kwa viongozi watakaokuja katika kuendeleza maendeleo ya Tanzania.  Dkt. Bilal aliyasema hayo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Mara yakiwa na Kaulimbiu isemayo “Maji kwa Mandeleo Endelevu.  Katika kilele cha Maadhimisho...

 

5 years ago

Michuzi

CHANGAMOTO ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA KUJADILIWA KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI


Charles James, Michuzi TV

TANZANIA itaungana na Mataifa mengine duniani kuadhimisha wiki ya maji ambayo itaanza Machi 16 hadi 22 mwaka huu huku kauli mbiu ikiwa ni " Maji na mabadiliko ya tabia nchi, uhakika wa maji salama kwa wote".

Wiki ya maji itaenda sambamba na siku ya maji ambapo ndio itakua kilele cha maadhimisho hayo ambayo yalianza kuadhimishwa rasmi mwaka 1993 kupitia azimio na.47/193 ililofikiwa mwaka 1992 na Umoja wa Mataifa.

Akizungumza na wandishi wa habari  leo jijini Dodoma,...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAJI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE AZINDUA RASIMI WIKI YA MAJI KITAIFA MKOANI DODOMA

 Waziri wa Maji  Profesa Jumanne Maghembe akipata maelezo kutoka kwa mtalamu kutoka nchini Australia Eng Johann Fabach kuhusu bomba lililotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa nchini Australia ambalo haliharibiki kwa urahisi wala kupata kutu. Kushoto  ni mkurugenzi msaidizi  Prima Business ya nchini Australia Bibi Annastella Baradyana. Maonesho hayo yanafanyika katika uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma Picha na Chris Mfinanga
Ofisa Habari wa Dawasa Bi. Neli Msuya akitoa maelezo kwa waziri wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO WIKI YA MAJI , MPIJI MAGOHE WATOA ARDHI BILA FIDIA KUPATA UMEME WA UHAKIKIA KWENYE CHANZO CHA MAJI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika wakifungua maji ya bomba kwenye Zahanati ya Kijiji cha Mpiji Magohe mara baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji hicho manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizindua Tenki la kuhifadhia maji katika kijiji cha Mpiji Magohe, manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam leo wakati wa mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea mkoani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho wiki ya maji, Mpiji Magohe watoa ardhi bila fidia kupata umeme wa uhakikia kwenye chanzo cha maji

Picha na 4

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki  na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika wakifungua maji ya bomba kwenye Zahanati ya Kijiji cha Mpiji Magohe mara baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji hicho manispaa ya Kinondani jijini Dar es salaam.

Picha na 5

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Said Meck Sadiki akizindua Tenki la kuhifadhia maji katika kijiji cha Mpiji Magohe, manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo wakati wa mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Maji yanayoendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani