Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda afungua mkutano wa afya Dar

PG4A9958

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014. (Picha na Ofisi ya Wazri Mkuu)

PG4A9973

Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) wakimsikiliza Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014. (Picha na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA AFYA DAR JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya (Annual Health Summit) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014. Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) wakimsikiliza Waziri Mkuu,Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba14, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

WAZIRI MKUU...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGUA MKUTANO WA RIPOA JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifunga Mkutano wa Taasisi ya Research on Poverty Alleviation in Tanzania (REPOA) kwenye hoteli ya BahariBeach Jijini Dar es salaam Machi 25, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama machapisho mbalimbali kuhusu uwekeza wa gesi wakati alipotembelea banda la British Gas (BG) baada ya kufungau mkutano wa Taasisi ya Utafiti wa Kuondoa Umaskini (REPOA) kwenye hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es slaam Machi 25, 2015. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa REPOA, Profesa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya Mabadiliko ya TABIANCHI kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam August 28, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohamed (katikati) na Waziri wa Mazingira wa Msumbiji, Ana Paulo Chichava baada ya kufungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DKT. SEIF RASHID AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI DAR ES SALAAM LEO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma akizungumza na wandishi wa habari (pichani hawapo), katika mkutano wa nne wa mafunzo ya upasuaji wa ubongo , uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Dar es Salaam leo. Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid, unao endelea hadi Mei 15-2015. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tiba MOI, Dk. Abednego Kinasha akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akifungua mkutano wa 14 wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA) .
Rais wa wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA), Nasra Gathoni akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa 14 wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika (AHILA) unaoendelea katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akimkabidhi cheti mwanachama wa Chama cha Wanataaluma wa Habari za Afya Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA) JIJINI DAR ES SALAAM


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014.Baadhi ya wadau wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwahutubia alipokuwa akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya...

 

10 years ago

Dewji Blog

PINDA afungua mkutano wa REPOA

PG4A7202

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifunga Mkutano wa Taasisi ya Research  on Poverty Alleviation in Tanzania  (REPOA) kwenye hoteli ya Bahari Beach Jijini Dar es salaam Machi 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7205

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa PACF — Bagamoyo

PG4A0144

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama dawa mbali mbali  zilizotengenezwa kwa kutumia Karafuu kabla ya kufungua  mkutano wa Pan African Competitiveness Forum (PACF)  kwenye hoteli ya Stella Maris mjini Bagamoyo August 13, 2014. Kulia ni Waziri wa Sayansi na Tekinolojia  Profesa Makame Mbarawa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu). PG4A0218 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu  Mahiza (kushoto) na Waziri wa Sayansi na Tekinolojia, Profesa  Makame Mbarawa baada ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa magavana wa benki ya PTA

PG4A2627 1

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Bodi ya Magavana wa Benki ya  Maendeleo ya Biashara, Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) kwenye kituo cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaaam August 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani