Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aipongeza taasisi kwa kujitolea

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameipongeza taasisi ya Urafiki na Mshikamano ya Rehema kwa kujitolea katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya jamii. Pinda alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki baada ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AIPONGEZA TAASISI YA DK MSUYA FOUNDATION KWA KUKARABATI SAMANI ZA SHULE YA SEKONDARI IBIHWA


Charles James, Michuzi TV

UZALENDO! Ndio kauli ambayo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameitumia kuipongeza Taasisi ya Dk Msuya Foundation kwa kuwezesha kusaidia ukarabati samani za Shule ya Sekondari Ibihwa iliyopo wilayani Bahi, Dodoma.

Waziri Jafo ameipongeza taasisi hiyo inayoongozwa na Dk Ombeni Msuya kwa moyo wao wa kizalendo uliowezesha ukarabati huo wa Viti 76 na Meza 45 kwenye shule hiyo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali za kuinua elimu nchini.

Akizungumza...

 

11 years ago

GPL

MHE. PINDA AIPONGEZA GLOBAL KUFICHUA MAOVU

Stori: Joseph Shaluwa
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter Pinda, ameipongeza Kampuni ya Global Publishers kwa kuripoti habari za uchunguzi zinazofichua maovu kwenye jamii.…

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya DYCCC na AlHikma Foundation wakabidhi vifaa vya PPE kwa Taasisi ya JAI kwa ajili ya kuzikia

Taasisi za DYCCC na Alhikma Foundation kwa kushirikiana na Taasisi zingine 7 wameweza kutoa msaada wa vifaa mbali mbali vya kuzikia leo tarehe 09 May 2020. Hii ilifuatia na mafunzo ya namna ya kuhudumia na kuzika maiti iliyotolewa na wataalam wa maziko. Makabidhiano haya yamefanyika katika viwanja vya Makaburi ya Kisutu mjini Dar Es Salaam.



 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua maonyesho ya taasisi za Muungano

PG4A6673

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kinyago cha umoja kutoka kwa Naibu Waziri , Ofisi ya Makau wa Rais, Umy Mwalimu  baada ya kufunga monyesho ya Taasisi za Muungano kwenye viwanja vya Mnazi Moja jijini dar es salaam Aprili 19, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwiguli Nchemba na kulia kwake Ni Kati Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuka. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

 

10 years ago

Habarileo

Pinda kuchangisha mil. 500/- Taasisi ya Mkapa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mpango wa Mkapa Fellows awamu ya pili jijini Mwanza wenye lengo la kuimarisha huduma za afya.

 

10 years ago

Michuzi

SOLUTION BLOCKS YAANDAA MIKUTANO ILI KUKUTANISHA NGO’S,TAASISI ZA KIRAIA NA TAASISI ZA SERIKALI KWA KILA MWENZI.

 Na Avila kakingo,Globu ya jamii.
KAMPUNI ya Solution BLOCKS ikishirikiana na kampuni ya Anglo Gold Ashanti waandaa mkutano wa  Alhamisi ya kila mwezi ili kushirikisha taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali kuzungumzia kuchangia katika maendeleo katika  jamii.
Hayo yamesemwa na Makamo wa Rais wa Sustainability Aglo Gold Ashanti, Simon Shayo katika ufunguzi wa mkutano ambao umejulikana kwa jina la THURSDAY TALK  uliofanyika katika hoteli ya Colosseum  jijini Dar es Salaam...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA

 MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kushoto akiwakabidhi baadhi ya wawakilishi wa Taasisi kubwa za Dini Jijini Tanga msaada wa vifaa vya usafi ambayo vimetolewa na taasisi ya odo Ummy Foundation inayoongozwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kulia mwenye kanzu ni Katibu Mkuu wa Taasisi ya Waalimu wa Kiislamu Tanzania ya Tamta Mohamed Mohamed Zikri akifuatiwa na Mwakilishi kutoka Katoliki Chumbageni John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani