PINDA AUTOSA RASMI UBUNGE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amekataa ombi la wakazi wa jimbo lake la uchaguzi la Katavi la kumtaka agombee tena ubunge katika jimbo hilo ili kuendeleza mipango ya maendeleo aliyoianzisha. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1MCOT6L
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Nov
10 years ago
Habarileo20 Mar
Zitto kuutema rasmi ubunge
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto anatarajia kuaga wabunge wenzake na kubainisha mbele ya Bunge hilo, kuwa anaachia rasmi madaraka yake ya ubunge baada ya kuhitilafiana na Chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Waziri Mkuu Mizengo Pinda awaomba wanakatavi apumzike Ubunge
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia msokoto wa rasta isiyokuwa ya kawaida aliosuka Bwana huyo, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa shule ya ufundi ya Mamba wakati wa shughuli zake za Kijimbo katika jimbo lake la Katavi (Picha ya Maktaba) …
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekataa ombi la wananchi wa jimbo lake la uchaguzi la Katavi la kumtaka agombee tena ubunge katika jimbo hilo ili kuendeleza mipango mbalimbali ya maendeleo aliyoianzisha.
Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili katika kigango...
10 years ago
Michuzi
JUST IN: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKATAA KUGOMBEA TENA UBUNGE


10 years ago
Michuzi
MANGUNGU AZINDUA RASMI KAMPENI ZA UBUNGE MBAGALA



KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Chadema wampitisha rasmi mgombea ubunge Chalinze
10 years ago
Vijimambo
UPDATES: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKATAA KUGOMBEA TENA UBUNGE

Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili katika kigango cha Kanisa Katoliki cha Kibaoni wilayani Mlele (Jumapili, Julai 19, 2015), Waziri Mkuu Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopewa ya kulitumikia Taifa akiwa Waziri Mkuu kwa miaka minane na anaamini wakati umefika wa yeye kuwaachia...
10 years ago
Africanjam.Com
ZITTO KABWE ACHUKUA RASMI FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE

Safari ya mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe kurejea bungeni imeanza rasmi baada ya kiongozi huyo wa chama kipya cha ACT-Wazalendo kuchukua fomu za kuwania kuongoza jimbo la Kigoma Mjini.
Uamuzi huo wa kulitaka jimbo hilo unathibitisha kauli zake ambazo amekuwa akizitoa kwa muda mrefu kuwa hatarudi tena Kigoma Kaskazini kwa kuwa alishawatimizia kila kitu na haoni sababu za kuwawakilisha tena wananchi wa eneo hilo.
Kauli yake iliibua ubashiri kuwa Zitto...
10 years ago
Michuzi