Pinda awatoroka waandishi
Aziza Masoud na Upendo Nkya (TUDARCO), Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
jana alilazimika kutumia mlango wa uani kuondokea badala ya ule mkuu kwa kile kinachohisiwa kuwakwepa waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia ufunguzi wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje na mazingira kutoka nchi za Afrika.
Pinda ambaye alikuwa akifungua mkutano huo, aliondoka mara tu baada ya kumaliza shughuli iliyompeleka huku akiacha kushiriki tukio la kupiga picha lililoandaliwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo04 Nov
Maguri awatoroka kimtindo Kiiza, Ngoma
MSHAMBULIAJI wa Stand United, Elias Maguri juzi aliiwezesha Stand United kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi Mgambo Shooting wakati alipofunga bao la pekee kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDocQrLKB*t-fKVp-SWn2kGr0mreh*t119WmdMBaaYbI*yMJfN2eHlOc48XIkmps0xKITo8f0AFTuesZsb38cH6o/polisi.jpg)
ALEX MASSAWE AWATOROKA POLISI, ALA KONA DUBAI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s72-c/2.jpg)
KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU
![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Fa5_n9_MOso/VbjFqqe6J3I/AAAAAAAC9DU/P_FbShviPM0/s640/3.jpg)