Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PINDA, MANGULA NA KINANA WAWASILI SONGEA KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akilakiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea, jioni ya leo tayari kushiriki maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM yanayofanyika kitaifa kesho Mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Pinda akiwapungia mkono wananchi na wana CCM waliofika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MANGULA NA KINANA WAWASILI MKOANI MBEYA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM,Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya Jumapili Februari 2. Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.  Mangula (katikati) akiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa...

 

11 years ago

GPL

KINANA, MANGULA WAWASILI MBEYA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM‏

Mangula (katikati) akiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini Mbeya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maandalizi ya maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yakamilika Songea

 Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa katika mazoezi ya gwari, karate na halaiki kwenye Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo wakati wa maandalizi ya maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM yanayofanyika kitaifa kesho Mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea,...

 

10 years ago

Michuzi

chipukizi wa UVCCM wa Songea watia fora katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM uwanja wa Majimaji

 Gwaride kazini Ukakamavu na nidhamu Heshima kulia Hakuna mchezo hapa Kiapo cha utii baada ya hatua 15 mbele.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

CHIPUKIZI WA UVCCM SONGEA WATIA FORA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM UWANJA WA MAJIMAJI

 Chipukizi wa UVCCM wakipia saluti huku wakiimba  wimbo wa Taifa…

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ ATUA NA ZARI MJINI SONGEA, APIGA SHOO KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM

  Diamond Platnumz na madansa wake wakifanya vitu vyao kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM leo.  …

 

10 years ago

Vijimambo

DK.SHEIN NA KINANA WAWASILI PEMBA KWA UFUNGUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia kwa ishara ya Saluti mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba tayari kwa kuhudhuria ufunguzi wa sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi zitakazo fanyika Januari 25,2015 na ziara ya siku 5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Seif Shaaban mara baada ya kuwasili Pemba.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa...

 

11 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM MKOA WA MBEYA YAIVA,KINANA ASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupalilia katika shamba la Magreth Kalimwa (wapili kulia), katika Kijiji cha Mlimanyoka, Kata ya Nsalanga, wilala ya Mbeya mjini. Kinana alifika kumsaidia mkulima huyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM, inayofanyika Kitaifa Jumapili hii mjini Mbeya.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Bi.Magreth Kalimwa mara baada ya kuwasili kwenye shamba lake kwa ajili ya kushiriki kupalilia shamba hilo lenye ekari moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani