Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Nitazungumza baada ya sikukuu

>Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu amesema atazungumzia hatima yake baada ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Niko salama, nitazungumza muda ukifika

Siku tatu baada ya Baraza Kuu la Chadema kuridhia kumpumzisha kwa muda Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa baada ya kutofautiana na Kamati Kuu kwa kumkaribisha waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kiongozi huyo amesema yupo salama na wakati mwafaka ukifika atazungumza ya moyoni.

 

9 years ago

Vijimambo

PINDA ATETA NA MUSEVENI BAADA YA SHEREHE ZA SKAUTI NCHINI UGANDA

Rais wa Uganda Yoweri Museni akiongea na Waziri mkuu Mizengo Pinda katika sherehe ya Skauti kutimiza miaka 100 nchini Uganda. Kulia ni Waziri wa Jinsia Kazi na Maendeleo ya Jamii nchini humo, Hajatt Rukia Isanga Nakadama. Waziri Mkuu alimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe hizoWaziri mkuu Mizengo Pinda akiwa anateta jambo na Makamu wa Raisi wa Sudani Kusini, James Wani Igga ambaye aliwakilisha nchi yake katika sherehe hizo. Kulia ni afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU PINDA ASHANGAA WANAOHAMA CHAMA BAADA YA KUSHINDWA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wakulima na wananchi wa  mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 ,2015 .Picha Jamiimojablog.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza katika sherehe hizo za wakulima Nanenane Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.Wananchi na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakimsikiliza Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani