Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PINDA ATETA NA MUSEVENI BAADA YA SHEREHE ZA SKAUTI NCHINI UGANDA

Rais wa Uganda Yoweri Museni akiongea na Waziri mkuu Mizengo Pinda katika sherehe ya Skauti kutimiza miaka 100 nchini Uganda. Kulia ni Waziri wa Jinsia Kazi na Maendeleo ya Jamii nchini humo, Hajatt Rukia Isanga Nakadama. Waziri Mkuu alimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe hizoWaziri mkuu Mizengo Pinda akiwa anateta jambo na Makamu wa Raisi wa Sudani Kusini, James Wani Igga ambaye aliwakilisha nchi yake katika sherehe hizo. Kulia ni afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AHUDHURIA MIAKA MIAMOJA YA SKAUTI NCHINI UGANDA

Rais wa Uganda Yoweri Museni akiongea na Waziri mkuu Mizengo Pinda katika sherehe ya Skauti kwakutimiza miaka miamoja nchini Uganda kulia  Waziri  wa Jinsia kazi namaendeleo ya Jamii Hajati Rukia Isanga Nakadama Waziri mkuu alimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete  Picha na Chris Mfinanga. Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa anateta jambo na Makamu wa Raisi wa Sudani Kusini H.E James Wani Igga ambaye aliwakilisha nchi yake katika sherehe ya Skauti kutimiza miaka miamoja nchini Uganda kulia kwa waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ateta na wawekezaji nchini Poland wenye nia ya kujenga hoteli ya kimataifa Zanzibar

123121

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiandika maelezo muhimu wakati akimsikiliza Mkurugenzi wa kampuni ya Katanja-Neoval Oil, Bw. NICODEMO SWIACKI (kushoto) akiwasilisha mada kuhusu kampuni yao ambayo inataka kuwekeza Tanzania kwenye kiwanda cha kusafisha dhahabu (gold refinery) na ujenzi wa hoteli ya kimataifa huko Zanzibar. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Mahadhi Juma Maalim na Naibu Waziri wa Fedha, Bw. Mwigulu Nchemba. (Picha na Irene Bwire wa OWM).

123137

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kufanya ziara ya kikazi nchini

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni (pichani), anatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatano asubuhi, tarehe 10 Septemba, 2014 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Katika ziara hiyo nchini, Mhe. Museveni atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam. Rais Museveni ataondoka baadaye siku hiyo hiyo kurejea nyumbani.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI,WIZARA YA MAMBO YA NJE NA...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ateta na Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

PG4A3441

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyemuudhi Museveni aachiliwa Uganda

Mkosoaji mkuu wa serikali ya Uganda kupitia mtandao wa kijamii, Robert Shaka,ameachiliwa huru kwa dhamana na mahakama moja Kampala

 

10 years ago

BBCSwahili

Museveni agharamia Uganda Cranes

Rais Yoweri Museveni amegharamia safari ya timu ya Uganda Cranes kwenda Togo, kucheza mechi ya marudiano kufuzu kucheza fainali ya kombe la mataifa ya Afrika

 

9 years ago

Mtanzania

Museveni, JK wajadili mafuta ya Uganda

Museveni - 1NA MWANDISHI WETU

RAIS Jakaya Kikwete na mwenzake Yoweri Museveni wa nchini Uganda, wamekutana jijini New York, Marekani na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya uchimbaji wa mafuta yanayopatikana nchini Uganda.

Marais hao walikutana juzi katika Hoteli ya Trump International and Tower iliyopo jijini humo ambako viongozi hao wapo huko ili kuhudhuria shughuli za mwaka huu za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

Taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ilisema...

 

9 years ago

TheCitizen

I’m not in Uganda to campaign for Museveni, says Ruto

Kenya’s deputy president, William Ruto who is currently in Uganda has refuted claims that the intention of his visit is to campaign for the incumbent and National Resistance Movement (NRM) presidential candidate Yoweri Museveni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani