Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kufanya ziara ya kikazi nchini

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni (pichani), anatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatano asubuhi, tarehe 10 Septemba, 2014 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Katika ziara hiyo nchini, Mhe. Museveni atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam. Rais Museveni ataondoka baadaye siku hiyo hiyo kurejea nyumbani.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI,WIZARA YA MAMBO YA NJE NA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Yoweri Museveni Awasili Nchini kwa Ziara ya siku moja

 Rais wa Uganda Yoweri Museveni akiteremka katika ndege iliyomleta leo jijini dar es Salaam kwa ajili ya  ziara yake ya siku moja nchini Tanzania . Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akikagua Gwaride la Maaskari pamoja na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni baada ya kuwasili  leo jijini  katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya ziara ya siku moja. Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Kulia) pamoja na mgeni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rais Yoweri Museveni amepiga marufuku huduma za uchukuzi wa umma Uganda

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepiga marufuku uchukuzi wa umma nchini Uganda

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14

Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14 kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Yoweri Museveni awaonyesha Waganda jinsi ya kufanya mazoezi ya nyumbani kudhibiti maambukizi

Uganda imepiga marufuku kufanya mazoezi ya mwili ya umma kama njia ya ziada ya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona.

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia kesho

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajiwa kuwasili nchini kesho tarehe 17 Mei, 2015 kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.Mhe. Rais Nyussi atapokelewa na mwenyeji wake Mhe. Rais Kikwete mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Rais Nyusi atakagua Gwaride la Heshima na kupigiwa mizinga 21.

Baada ya mapokezi hayo, Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

Matukio mbalimbali ya ziara ya kikazi ya Mhe. Membe nchini Uturuki

Waziri Mkuu wa Uturuki, Mhe. Recep Tayyip Erdogan (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Mhe. Bernard K. Membe (Mb). mazungumzo hayo yalifanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Ankara, Uturuki tarehe 08 Mei, 2014. Mazungumzo yanaendelea kati ya Waziri Mkuu wa Uturuki (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania. Mwingine katika picha ni Bibi Victoria Mwakasege, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. MEMBE AWASILI NCHINI CHINA KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)  akipokelewa na mwenyeji wake Mhe. wang Yi, Waziri wa Mambo ya Nje wa China mara baada ya kuwasili kwenye  Wizara ya Mambo ya Nje ya China.   Mhe. Membe na Mhe. Wang Yi katika picha ya pamoja. Mhe. Membe akiongozana na Mhe. Wang Yi mara baada ya kupokelewa.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE MAHADHI JUMA MAALIM AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI WA ZANZIBAR MHE. ALI JUMA SHAMHUNA AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI OMAN

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa serikali ya Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna, alifanya ziara ya Kikazi nchini Oman kuanzia tarehe 16 hadi 20 February 2014 kwa Mwaliko wa mwenyeji wake Mheshimiwa Dr. Rawiyah Al Busaidi, Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman.
Ziara hii ilikuwa na madhumuni makuu ya kuimarisha uhusiano wa kindungu uliopo baina ya Oman na Tanzania kupitia sekta ya Elimu na kuimarisha uhusiano wa karibu na ushirikiano baina ya taasisi za elimu kati ya Tanzania na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani