Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AHUDHURIA MIAKA MIAMOJA YA SKAUTI NCHINI UGANDA

Rais wa Uganda Yoweri Museni akiongea na Waziri mkuu Mizengo Pinda katika sherehe ya Skauti kwakutimiza miaka miamoja nchini Uganda kulia  Waziri  wa Jinsia kazi namaendeleo ya Jamii Hajati Rukia Isanga Nakadama Waziri mkuu alimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete  Picha na Chris Mfinanga. Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa anateta jambo na Makamu wa Raisi wa Sudani Kusini H.E James Wani Igga ambaye aliwakilisha nchi yake katika sherehe ya Skauti kutimiza miaka miamoja nchini Uganda kulia kwa waziri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

PINDA ATETA NA MUSEVENI BAADA YA SHEREHE ZA SKAUTI NCHINI UGANDA

Rais wa Uganda Yoweri Museni akiongea na Waziri mkuu Mizengo Pinda katika sherehe ya Skauti kutimiza miaka 100 nchini Uganda. Kulia ni Waziri wa Jinsia Kazi na Maendeleo ya Jamii nchini humo, Hajatt Rukia Isanga Nakadama. Waziri Mkuu alimuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe hizoWaziri mkuu Mizengo Pinda akiwa anateta jambo na Makamu wa Raisi wa Sudani Kusini, James Wani Igga ambaye aliwakilisha nchi yake katika sherehe hizo. Kulia ni afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 52 Uhuru wa uganda

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria shrehe za Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo Kampala.(picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa entebbe Uganda kuhudhuria sherehe za miaka 52 za uhuru wa Uganda.

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA BW.JOHN CASMIR MINJA AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMALIZA MAFUNZO YA UASKARI MAGEREZA NCHINI UGANDA

Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Tanzania Bw. John .C. Minja wakwanza kushoto akiwaongoza Wakuu wa Magereza Wanachama ACSA (Nchi Wanachama wanaounda Taasisi zinazohusika na Urekebishaji/Magereza )Barani Afrika katika Maadhimisho ya kumaliza Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza Nchini Uganda,sherehe zilizofanyika leo tarehe 9 April,2015 katika Viwanja vya Kololo Kampala Uganda.Wakwanza kulia ni Mkuu wa Magereza Nchini Angola.Maadhimisho hayo yalitanguliwa na Kikao cha siku moja cha Wakuu...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA ASKOFU MKUU NGALALEKUMTWA WA IRINGA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Mhashamu Baba Askofu, Tarcisius Ngalalekumtwa (katikati) na Makamu wake, Mhashamu Baba Askofu Severini Niwemugizi katika misa ya Jubilei ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu Mkuu Ngalalekumtwa iliyofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Iringa Julai 1, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMTEMBELEA WAZIRI MKUU WA UGANDA

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda na ujumbe wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda pamoja na viongozi wa serekalini Uganda.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongea jambo na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda alipo mtembelea ofisini kwake kushoto ni Kaimu wa Itafaki Tanznia Bw. Jemes Bwana,  Waziri Mkuu yupo Nchini Uganda kumuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za Skauti kutimiza mika miamoja nchini Uganda.Picha na Chris Mfinanga.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AHUDHURIA IBADA MJINI DODOMA.

01Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakishiriki  katika ibada ya kwanza  ya Jumapili kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba  mjini Dodoma Juni 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)03Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.04Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya baada ya kuhudhuria ibada ya...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA JUBILEI YA KANISA KATOLIKI ARUSHA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki baada ya ibada ya Jubilei ya miaka 50 ya Kanisa Kuu  la Jimbo la Arusha iliyofanyika mjini Arusha leo Desemba 30,2013. Baadhi ya viongozi waliohudhuria katika Jubilei hiyo. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani