PINGO'S FORUM YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUPAMBANA NA COVID 19 WILAYANI SIMANJIRO MKOA WA MANYARA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ufFh2LlPZyE/XqA16Gwt7LI/AAAAAAALn0I/MR_Dq30ppTgz0B0ERFxhk7Yst3Sq17F5ACLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-04-22-13h28m14s588.png)
Na Ahmed Mahmoud Arusha. SHIRIKA la Mtandao wa Wafugaji na Wawindaji sanjari na Waokota Matunda la PINGO'S limetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya milioni 18.2 kuisaida Serikali kwenye mapambano ya Ugonjwa wa Covid 19.
Vifaa hivyo vilikabidhiwa kwa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro kwa niaba ya jamii ya Wafugaji wilayani humo kwaniaba yao kwa Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Yafred Myenzi
Akiongea wakati akikabidhi vifaa hivyo Mkurugenzi wa Taasisi hiyo ya Pingo's Edward...
Michuzi