Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pistorius kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani

Oscar Pistorius ataachiliwa huru kutoka gerezani Jumanne na kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Pistorius aombewa kifungo cha nyumbani

Idara ya kurekebisha tabia nchini Afrika Kusini inataka Oscar Pistorius apewe kifungo cha nyumbani cha miaka mitatu kwa kumpiga risasi na kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.

Bwana Joel Maringa afisa anayehusika na masuala ya urekebishaji tabia aliiambia mahakama mjini Pretoria kuwa hawamuadhibu tu Pistoruiis bali pia wanataka kumbadili kitabia akisema kuwa anaweza kutoa huduma za jamii kwa saa 16 kwa mwezi.

Awali daktari wa Pistorius anayehusika na matatizo ya akili Lore Hartzenberg aliiambia...

 

10 years ago

Habarileo

Majambazi waua polisi 2 kizuizi cha Dar, Pwani

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaASKARI wawili wa Jeshi la Polisi waliokuwa kazini eneo la kizuizi cha polisi cha kijiji cha Kipara Mpakani Vikindu wilayani Mkuranga mkoani Pwani, wameuawa na majambazi na kuporwa silaha.

 

11 years ago

GPL

BIRTHDAY YA MAMAA WA MITINDO, ASIA KHAMSIN IDAROUS YAFANA KWENYE KIOTA CHA NYUMBANI LOUNGE‏

Mbunifu Mkongwe wa Mavazi nchini Mamaa wa Mitindo Asia Khamsin Idarous jana alisheherekea siku yake ya kuzaliwa na ndugu, jamaa na marafiki katika mnuso wa nguvu uliofanyika kwenye kiota cha Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam. Zifuatazo ni picha mbalimbali za matukio katika mnuso huo wa nguvu. Mbunifu Mkongwe wa Mavazi nchini Mamaa wa Mitindo Asia Khamsin Idarous, akizungumza machache kabla ya kukata cake kwenye mnuso wake...

 

11 years ago

BBCSwahili

Damu nyumbani kwa Pistorius

Polisi wameelezea mahakama kuwa waliona damu kwenye ghorofa ya nyumba alimokuwa anaishi Oscar Postorius siku ambapo mpenzi wake aliuawa.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tulikuta damu nyumbani kwa Pistorius’

Polisi wameelezea mahakama kuwa waliona damu kwenye ghorofa ya nyumba aliyokuwa anaishi Oscar Postorius siku ambapo mpenzi wake Reeva Steenkamp aliuawa.

 

9 years ago

Michuzi

Filamu Nne Kutoka Proin Promotions zaingia kwenye kinyanganyiro cha Africa Magic Viewers Choice Awards 2016, wadau tunaomba tuzipigie kura zilete ushindi nyumbani

Proin Promotions Ltd imefanikiwa kuingiza filamu zake nne katika Shindano la Africa Magic Viewers Choice Awards 2016 (AMVCA 2016) katika vipengele viwili huku Filamu zote nne zikiingia katika Kipengele Kimoja cha BEST MOVIE - EAST AFRICA filamu zilizoingia katika kipengele hiko ni  MAPENZI YA MUNGU, KITENDAWALI, MPANGO MBAYA, DADDY’S WEDDING huku filamu ya KITENDAWILI ikiingia katika Kipengele kingine cha BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – SWAHILI.Filamu zote nne zimeingia katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani