Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PITA YA VIJIMAMBO WIKIENDI NEW YORK

Birthday Girl mbele ya Cake tayari kwa wenye kutaka kujiongezea utamu mwilini hii ni siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa Miss Maundi pande za Brooklyn alivyo jumuhika na ndugu zake pamoja na marafiki wakaribu kiroho safi kwenye kiota cha maraha cha Tropicana. Marafiki wa karibu wakipata ukodak na birthday girl kwenye kiota cha marahaBirthday Girl akiwa na  dada yake Fruit punch

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO TIMES SQUARE NEW YORK KUELEKEA MWAKA MPYA

 Watu wakiwa tayari wamejipanga kusubiri mkesha wa mwaka mpya 2015 eneo la Times Square New York City, sehemu hii ni maarufu sana kwa New York na Marekani watu kutoka sehemu mbali mbali za dunia ufika New York kushuudia mwaka mpya kwa style mbali mbali  za kukiss adharani na wengine kuvalishana pete za uchumba wakiwa hapa Times Square baada ya kuangushwa mpira mkubwa unaojulina kama balls drop.
 ili ndiyo balls drop lenyewe linalo wavuta watu kutoka sehemu mbalimbali licha ya kuwa na baridi...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA MNN STUDIO NEW YORK CITY


NY EBRA akiwa ndani ya Studio za (MNN) New York City akichukuwa Course ya TV Producer ni moja ya mikakati ya kujiweka sawa kwani Vijimambo team wako mbioni kuanzisha kituo cha TV. Na ilikuweza kufanya kazi kwa ufanisi na ubora Course ni muhimu pale muda unavyoruhusu.
Hapa ni Katibu wa NYCT Deo Mhella akiwa na Ebra ndani ya studio hizo za Manhattan Neighborhood Network, Deo alimtembelea Ebra na kujionea kinachoendelea ndani ya studio.NY akiwa nyuma ya camera ndani ya studio hizo

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK CITY WIKI ENDI

Adela alisherehekea birthday weekend kwa kujumuhika na marafiki kwa kichwaji na dinner, Hapa Adela akiwa kashikilia chupa za wine tayari kwa ku pomping the bottle kiroho safi ukiona birthday maana yake miaka inaenda winter, spring, summer siku azigandi.Hapa Adela akifurahi baada ya kupewa zawadi ambayo hakutegenea ya pesa taslim na marafiki zake.



 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK CITY

Ny Ebra akiwa na mdogo wake  anaeitwa Abubakar, Abubakar alikuwa New York kwa likizo na sasa anarudi Rusia kuendelea na masomo hapa alikuwa ametoka kufanya shopping ndani ya jiji la wasilo lala NYC.

 

9 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK

 Abubakary katikati kutoka Russia akiwa New York likizo akiwa na rafiki zake kushoto kwake ni Amos wakipata ukodak maeneo ya times square. Hapa 6th Avenue Abubakary akiwa na Roja katikati na kulia na Amos wakipata ukodak wa kumbukumbu kabla kurudi masomoni Russia.

 

9 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO WEEKEND NEW YORK

Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhani Mwinyi akiongea mbele ya wageni waalikwa  nyumbani kwa Mhe. Balozi Tuvako Manongi. Mhe. Balozi Manongi aliandaa get together nyumbani kwake  New York siku ya jumammosi jioni na kuwakaribisha wafanya kazi wa Ubalozi New York, wageni kutoka Tanzania foreign Affairs na viomgozi wa New York Tanzania Community kwa Chakula cha jioni na vinywaji huko nyumbani kwake New York.


Balozi wakudumu Tanzania katika Umoja wa...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO BROOKLYN, NEW YORK

 Kutoka kushoto ni NY Ebra, Dj Rich Maka na Dj Peter Moe wakipata picha ya pamoja nyumbani kwa Ny Ebra kama walivyokutwa na pita pita ya Vijimambo mjini Brooklyn, New siku ya Jumapili April 26, 2015. Kutoka kushoto ni Dj Peter Moe, Dj Luke Joe na Dj Venture kama walivyokutwa na kamera ya pita pita ya Vijimambo mjini Brooklyn, New York wakiwa kama marafiki wa siku nyingi ambapo Dj Luke Joe aishawahpiga muziki na Dj Peter Moe miaka ya nyuma Mambo Club ambayo sasa ni Maisha Club pia Dj huyo wa...

 

9 years ago

Vijimambo

PIPTA PITA YA VIJIMAMBO QUEENS NEW YORK


Nyumbani kwa Dr Temba Queens New York alivyoandaa get together siku ya jumamosi na kukaribisha marafiki kwa vinywaji na nyama choma.
Dr Temba na wageni wake nyumbani kwake.
 Mama Mwenye nyumba wa Dr Temba akiongea na wageni wake, Ukodak zaidi chini kwenye soma zaidi.

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA SHAMBA LA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA


Project ya ujenzi wa machine ya kukaushia samaki na matunda iliyobuniwa na Dr Temba imeenza kuwaka kama unavyoona kwenye picha project manager bwana William akiiwasha machine hiyo kwa mara ya kwanza na pembeni yake ni Dr Temba na nyuma William ni Sam fundi umeme.

Dr Temba akiongeza speed ya machine hiyo kwa majaribio kabda ya vifaa vingine kufungwa na company yake ya T.E.S kutoka Brooklyn. NY.

Hapa ni sehem itakayofungwa compute maalum itakayoendesha machine hii.
Wageni wakiaangalia machine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani