POLENI MLIOACHWA, MLIOPIGWA NA KUNUNIWA PASAKA
![](http://api.ning.com:80/files/6xzDXLZEGuvs9j5ItSHBBiiH-ylwEnGNrvZ3fy*vdkU4bk99tqhNu-iCfnccJ7t4aytyfn57xEFgVvNNsU5a5F0VTNtQBIkW/Loves.gif?width=650)
Asante Mungu, muumba wa mbingu na ardhi kwa kuwa nimeiona Sikukuu ya Pasaka na leo ni Jumanne bado naendelea kuvuta pumzi yako, sifa na utukufu zikufikie.Wapenzi wasomaji wa safu hii napenda kuwakaribisha kwa mara nyingine tena kwenye mada yetu ya leo. Kwani ni wazi kuwa watu walio kwenye uhusiano wa kimapenzi watakuwa wameachwa, wamepigwa, wametengwa au wamenuniwa wakati wa sikukuu hii ya Pasaka. Kwa imani ya Kikristo kuanzia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Feb
WADAU POLENI NA MAJUKUMU, MSAADA TAFADHALI
10 years ago
GPLMTOKO WA PASAKA WA GWT ULIVYOFANA SIKUKUU YA PASAKA
11 years ago
Michuzi16 Apr
KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/mu4i9qV6CtseExo4S14E9FBdDx5E-RTJ9mPA0B981EEOuuU3JgCFA-h2xtNWQXXAm7Z2tK6HCsSXZZms6zvveMMhOD-H1JmgY6494wyFqSzldt5DiztBYKt9Vy1QzDEJuxUeGhVmQBWcDJ1EcyIq2cCGxHvCgovmtQLE0YaIQbmiX5rplWqp-0tP5F7QuCvMXAkQbSMOrqdavTIZUqzuWgvfHl-S9pPDP0tSQf4Z4ItaKN4uW8ed5DcZZvblwhZhvqUfH6ko2G6FTQftFCef2FTd5oD6sBOcpF91VY02BGsV3xoijj4zDXGRKiGi3IWlMUs_DKktLZtweVOaYSN2RqDMsb7BEP0=s0-d-e1-ft#https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-zcKVjNsVVhQ%2FU01Q1lx2slI%2FAAAAAAAAVkM%2FuxQON5LjPVk%2Fs1600%2Fkapotive%2B2000.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...