Polisi waiangukia SSRA
ASKARI Polisi mkoani Arusha, wameiomba Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuweka mazingira yatakayowawezesha kuhamisha mafao yao kutoka mfuko mmoja kwenda mwingine. Akizungumza katika warsha iliyoandaliwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Wavuvi Feri waiangukia serikali
WAVUVI wa soko la samaki la Feri jijini Dar es Salaam, wameitaka serikali kuwatengea eneo maalum la kufanyia shughuli zao, baada ya kupewa agizo la kuhama. Hatua hiyo ya kuhamishwa,...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Wajasiriamali wa pumba waiangukia serikali
WAJASIRIAMALI wa bidhaa za pumba na mashudu, jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kupunguza tozo kwa wafanyabisahara wanaonunua bidhaa zao na kupeleka nchi jirani ya Kenya. Wizara ya Maendeleo ya...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Jamii ya wafugaji waiangukia Serikali
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
SSRA yawaonya waajiri
MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imewaonya waajiri na Mifuko ya Hifadhi nchini kutowalazimisha wafanyakazi kujiunga na mifuko wanayoitaka wao. Akitoa taarifa kwa umma...
10 years ago
Habarileo20 Jun
SSRA yafafanua kanuni za mafao
MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema kanuni mpya za uainishaji wa mafao ya pensheni kwa wanaostaafu kwa hiari, una lengo la kulinda na kutetea maslahi ya wanachama.
11 years ago
Daily News14 May
New SSRA board of directors picked
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Mr Juma Ally Muhimbi as Chairman of the Board of Directors of the Social Security Regulatory Authority (SSRA) with effect from April 28. A statement issued in Dar es Salaam by the Ministry of Labour and ...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
SSRA yawafunda waajiri Tabora
WAAJIRI nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwachagulia watumishi kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii na pia wameaswa kupeleka michango ya wafanyakazi wao kwa wakati ili kuondoa usumbufu wanapostaafu. Akizungumza...
11 years ago
Habarileo23 Jul
SSRA wadaiwa kukiuka haki za wafanyakazi
MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imeshauriwa kusitisha mchakato ulioanza wa mapendekezo ya kuimarisha mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini.
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
SSRA: Wasanii changamkieni mifuko ya jamii
WASANII nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili iweze kuwasaidia katika maisha yao ya sasa na ya baadaye. Wito huo ulitolewa mwishoni mwa...