Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yazindua bodi ya shirika la uzalishaji

RAIS Jakaya Kikwete, ameridhia kuundwa kwa bodi ya Shirika la Uzalishaji la Jeshi la Polisi itakayosaidia kuongeza mapato, ili kuendelea kuboresha huduma ndani ya Jeshi la Polisi. Akizindua bodi hiyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES SALAAM



 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Prof. Suffian Bukurura, wakati alipokuwa anatoa taarifa ya Bodi hiyo, katika Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Polisi, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Mwakilishi wa Inspekta Jenerali wa Polisi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura, na kushoto ni Katibu wa Bodi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), John Massawe. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT KUSHIRIKI MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LITASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.TUNAWAKARIBISHA KUJA KUTEMBELEA KATIKA BANDA LA SUMAJKT NA KUPATA BIDHAA NA HUDUMA ZENYE UBORA. PIA WAWEZA KUTUTEMBELEA KATIKA BLOGU YETUwww.sumajkt.blogspot.com na pia TOVUTU YETU www.sumajkt.go.tz

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bodi ya NIC akutana na menejimenti ya shirika hilo leo

Kaimu Mkurugeniz wa Shirika la Bima la Taifa (NIC),Sam Kamanga akuzungumza katika Mkutano na Menejimenti ya Shirika hilo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa JB Belmont,Golden Jubilee,jijini Dar es salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo,Dkt. Edmund Mndolwa.Sehemu ya Menejimenti ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakifatilia kwa makini Mkutano huo.Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Shirika la Bima la Taifa (NIC),Dkt. Edmund Mndolwa (wa nne kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja...

 

5 years ago

CCM Blog

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKABIDHI MALORI MATATU KATIKA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA

  Na ASP. Lucas Mboje, Dodoma.KATIKA kuimarisha shughuli za Kikosi ujenzi cha Shirika la uzalishaji mali la Magereza(SHIMA). Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee amekabidhi malori matatu (03) mapya aina ya TATA yenye thamani ya zaidi ya milioni 400 Tsh ambayo yatakayotumika katika miradi mbalimbali ya ujenzi ya Shirika hilo hapa nchini.
Akizungumza katika makabidhiano ya magari hayo leo Juni 1, 2020 jijini Dodoma, Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee amesema kuwa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Kasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yafurahisha bodi ya shirika hilo

Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na Injinia wa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA SULEIMAN MZEE AKABIDHI MALORI MATATU SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA MAGEREZA (SHIMA) DODOMA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee(Kushoto) akikabidhi funguo za malori mapya kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina leo Juni 1, 2020 katika Viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akijaribu kuliwasha moja ya lori kabla ya kukabidhi malori mapya matatu kwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, SACP. Chacha Bina(hayupo pichani) leo Juni 1, 2020 katika Viwanja...

 

11 years ago

Michuzi

BODI YA KAHAWA(TCB) NA SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA(TANAPA) WAIBUKA NA TUZO ZA PPF

Naibu waziri wa Fedha,Mwigulu Mchemba akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Astery Bitegeko tuzo na Cheti baada ya kushika nafasi ya pili uwasilishaji  michango ya wanachama wa PPF mapema kwa upande wa sekta ya Kilimo.Naibu waziri wa Fedha,Mwigulu Mchemba akipeana mkono na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Astery Bitegeko mara baada ya kumkabidhi  tuzo na Cheti baada ya kushika nafasi ya pili uwasilishaji  michango ya...

 

5 years ago

Michuzi

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yazindua wimbo maalum wenye lengo la kuhamasisha Wanataaluma

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imezindua wimbo maalum wenye lengo la kuhamasisha Wanataaluma kujiunga na Bodi hiyo sambamba na kutoa elimu kwa umma kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Godfred Mbanyi amesema wimbo huo umejikita zaidi Wanataaluma kujisajili na Bodi na kufanya Mitihani ya Bodi na kubobea zaidi katika Taaluma hiyo.
Mbanyi amesema wimbo huo umetoa ujumbe mahsusi wa majukumu, kazi ambayo Bodi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani