Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POZI LA MASOGANGE, MWANAUME UTATA!

Na Mwandishi Wetu
PICHA mpya ya ‘video queen’ matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja, imezua utata kutokana na ukaribu wao. Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi na mwanaume ambaye hakujulikana jina lake. Picha hiyo ilitupiwa katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita huku a na maneno kuwa wawili hao åç...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Mwanaume mwenye hips na shape la hatari kuwazidi Kim K, Nicki Minaj na Masogange!

Micah ni mwanaume…lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke! Zile hips ambazo baadhi ya wadada huzitamani kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa daktari. Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua headlines kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi. Hivi ni vipimo vya mwili wake: Kifua: 41.5″ Kiuno: 37″ […]

 

9 years ago

Vijimambo

UTATA : MWANAUME ALIYEMVALISHA PETE JACKY WOLPER ,PICHA YAVUJA AKIWA NA MKE WA NDOA

Juzi mitandaoni habari iyomake headline sana kwa upande wa wasanii ilikuwa ni habari ya Mwigizaji Jack Wolper kuvishwa pete ya uchumba.. Sasa jana Watu wameibua jipya huku instagram imetapakaa picha ikimuonyesha mwanaume aliyemvisha pete Jack Akiwa na Mkewe ikimaanisha tayari ana ndoa ..
Kitu ambacho wengi hatujaelewa na wengine wakisema labda ile ya Jack akivishwa pete ni. Movie mpya..Picha hii hapa chini!
CHANZO: UDAKU SPECIALLY

 

10 years ago

GPL

OMMY DIMPOZ 'POZI KWA POZI' NAYE ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO

Ommy Dimpoz akipoza kiu ndani ya studio za Global TV Online leo wakati akifanyiwa mahojiano. Dimpoz katika pozi murua ndani ya studio za Global TV Online leo.…

 

11 years ago

GPL

POZI LA MAMA NA MWANA!

Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa katika pozi na mama yake mzazi, Bi. Lucresia Karugila (kulia).

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

POZI LA LULU, DK CHENI MHHH...

Staa wa Filamu za Kibongo, Mahsein Awadh almaarufu Dokta Cheni akiwa katika pozi tata na staa mwenziye, Elizabeth Michael 'Lulu'.

 

11 years ago

GPL

TX JUNIOR, RECHO WANASWA POZI TATA

Stori: Shakoor Jongo
MWANAMUZIKI wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’. Mwanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’. Tukio la kunaswa kwa muimbaji huyo lilichukuwa nafasi katika baa moja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani