Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TX JUNIOR, RECHO WANASWA POZI TATA

Stori: Shakoor Jongo
MWANAMUZIKI wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’. Mwanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’. Tukio la kunaswa kwa muimbaji huyo lilichukuwa nafasi katika baa moja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Sabby, Cyrill Wanaswa Wakiwa Kwenye Pozi Tata!

Mrembo na staa wa Bongo Movie, Sabrina Omary ‘Sabby’  na  muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze hivi karibuni walinaswa katika ufukwe wa Hoteli ya Golden Tulip, Masaki jijini Dar wakiwa kimahaba na hivyo kuzidisha tetesi kuwa wanatoka kimapenzi.

Chanzo chanzo makini cha GPL kilisema wawili hao walionekana hotelini hapo wakiwa eneo la kuogelea na walipomaliza walihamia katika viti ambako sasa walikumbatiana kimahaba kana kwamba hakuna mtu anayewaona.

Kwa nyakati tofauti walipoulizwa kuhusu...

 

10 years ago

GPL

OMMY DIMPOZ 'POZI KWA POZI' NAYE ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO

Ommy Dimpoz akipoza kiu ndani ya studio za Global TV Online leo wakati akifanyiwa mahojiano. Dimpoz katika pozi murua ndani ya studio za Global TV Online leo.…

 

11 years ago

GPL

POZI LA MAMA NA MWANA!

Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa katika pozi na mama yake mzazi, Bi. Lucresia Karugila (kulia).

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

POZI LA LULU, DK CHENI MHHH...

Staa wa Filamu za Kibongo, Mahsein Awadh almaarufu Dokta Cheni akiwa katika pozi tata na staa mwenziye, Elizabeth Michael 'Lulu'.

 

11 years ago

GPL

POZI LA MASOGANGE, MWANAUME UTATA!

Na Mwandishi Wetu
PICHA mpya ya ‘video queen’ matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja, imezua utata kutokana na ukaribu wao. Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi na mwanaume ambaye hakujulikana jina lake. Picha hiyo ilitupiwa katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita huku a na maneno kuwa wawili hao åç...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani