PPF YAENDESHA SEMINA KWA MAAFISA WA MAKAMPUNI MBALIMBALI KATIKA (KANDA YA KINONDONI) MKOA WA TANGA LEO
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Bw. Salum Chima akizungumza wakati akifungua semina ya Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika (Kanda ya Kinondoni) mkoani Tanga leo
Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya Kinondoni (inayojumuisha wilaya za Kibaha,Bagamoyo na mkoa wa Tanga),Bi. Zahra Kayugwa akizungumza na washiriki wa semina ya Mfuko wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika (Kanda ya Kinondoni) mkoa wa Tanga leo.Maafisa kutoka makampuni mbalimbali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPPF KANDA YA KINONDONI YANG'ARA KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA
11 years ago
MichuziPPF KANDA YA KINONDONI YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA
11 years ago
MichuziPPF KANDA YA KINONDONI YAENDELEA KUTOA ELIMU KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA
11 years ago
MichuziTPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Benki ya Exim yadhamini michuano ya Gofu kwa maafisa watendaji wakuu kutoka makampuni mbalimbali viwanja vya Lugalo
Meneja Msaidizi wa Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Thobius Samwel (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki yake kwa washiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa kwa watendaji wakuu wa makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika katika viwanja vya Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Afisa Mauzo, wa benki hiyo Bw. Ishaq Samailla. Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.
Meneja Msaidizi wa...
10 years ago
Vijimambo04 Mar
GEPF WATOA SEMINA KWA MAAFISA UTUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI JIJINI MBEYA
10 years ago
GPLGEPF WATOA SEMINA KWA MAAFISA UTUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI JIJINI MBEYA
10 years ago
MichuziKAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MBEYA CONSTANTINE MUSHI AFUNGUA RASMI SEMINA YA MAAFISA MAZINGIRA JIJINI MBEYA LEO