Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF. KABUDI AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA RAIS MAGUFULI KWA RAIS DONALD TRUMP WA MAREKANI

<<Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akikabidhi ujumbe maalum wa Rais Dk John Magufuli kwenda kwa Rais wa Marekani Doland Trump. Anayeshuhudia ni  Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Balozi Wilson Masilingi 
Washington, MarekaniTanzania na Benki ya Dunia zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala mbalimbali ikiwemo elimu,uendelezaji wa miundo mbinu na masuala ya kijamii kupitia mikopo,ruzuku na misaada inayotolewa na benki hiyo ili...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Twitter yamuonya rais Donald Trump dhidi ya kuchapisha ujumbe wa 'uongo'

Hii ni mara ya kwanza mtandao huo wa kijamii umesema ujumbe wa Donald Trump huenda unapotosha.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mary Trump: Kumbukumbu ya mpwa wa rais Donald Trump inayomdhalilisha rais huyo

Mary Trump anatarajiwa kutoa kitabu kinachomuelezea mjomba wake Donald Trump kama mwanaume hatari sana duniani.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA WAZIRI MKUU WA JAPAN PAMOJA NA SUDAN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akialimiana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara mara baada ya kufanya nae Mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi Kamal Ismail Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya nje...

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATOA SHUKRANI KWA WATANZANIA KWA NIABA YA RAIS


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa salamu za shukrani kwa Waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano,Dayosisi ya Dar Es Salaam kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni kilele cha siku tatu za shukrani kwa Mungu baada ya maambukizi ya virus vya corona kupungua nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa salamu za shukrani...

 

5 years ago

CCM Blog

PROF. KABUDI: KAULI YA RAIS DK. MAGUFULI KUHIMIZA WATANZANIA KUSALI ILI TAIFA LIONDOKANE NA COVID 19 HAIKUWA IKIMAANISHA KUPUUZA KANUNI ZA KISAYASI KATIKA KUKABILIANA NA UGONJWA HUO

DAR ES SALAAM, TanzaniaTanzania imeitaka dunia na Jumuiya za Kimataifa kutambua kuwa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuwahimiza Watanzania kusali na kuliombea Taifa kuondokana na maradhi ya COVID 19 kamwe haikuwa kauli ya kupuuza kanuni za kisayansi za mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Akitoa salam za Shukrani kwa Mungu na watanzania kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni hitimisho la siku tatu za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Donald Trump kuwania urais Marekani

Tajiri Donald Trump kwa mara nyengine tena ametangaza azma yake ya kuwania urais nchini Marekani mwaka 2016.

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATAJA SABABU ZA TANZANIA KUTOSHIRIKI MKUTANO WA NCHI NNE NA ULE ULIOTISHWA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi amefafanua kwa kina sababu za Tanzania kutoshiriki kwenye mikutano ya kikanda ukiwemo mkutano wa Korido ya Kaskazini unaohusisha nchi nne pamoja na mkutano wa SACU uliotishwa na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa.
Ufafanuzi wa Profesa Kabudi ambao ameutoa leo Mei 13,2020 Bungeni Mjini Dodoma unatokana na kuwepo kwa madai ya baadhi ya watu wasioitakia mema Jumuiya Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

Ujumbe Maalum wa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Sultan Qaboos wa Oman

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akimkabidhi Mhe. Yousuf bin Alawi bin Abdulla, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Ujumbe Maalum kutoka kwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda kwa Mhe. Sultani Qaboos bin Said Al Said, Mtawala wa Oman. Makabidhiano yakiendelea huku Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mhe. Ali Ahmed saleh akishuhudia. Waziri Membe akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Alawi bin Abdulla, Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani