PROF. MARK MWANDYOSA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) JIJIJI DAR
Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) Dk. james Diu( Kulia ) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya wakati alipotembelea makao makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujionea shughuli zinazofanywa na TCAA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum , Prof Mark Mwandosya akikabidhiwa Nyaraka ya Sheria ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dk. James Diu ,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WAZIRI WA UCHUKUZI DK.HARRISON MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)
9 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI WA KAZI,VIJANA NA AJIRA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA VODACOM TANZANIA


5 years ago
MichuziKAMISHNA SABAS AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA MBWA NA FARASI JIJINI DAR ES
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakutana na Wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar
Afisa habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyombo mbalimbali nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Fadhili Manongi akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini (hawapo pichani) juu ya Kanuni na taratibu za Mamlaka...
11 years ago
Michuzi
MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

11 years ago
Michuzi.jpg)
MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATBA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA
.jpg)
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) WALIVYOADHIMISHA WIKI YA MAZINGIRA
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania TCAA, Watoa Elimu ya Anga Nane Nane Dodoma
.jpg)
.jpg)