Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Muhongo akabidhi Ofisi kwa Simbachawene jijini dar leo

Waziri  mpya wa Nishati na Madini,George Simbachawene (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati makabidhiano ya ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo,leo jijini Dar es Salaam.Waziri  mpya wa Nishati na Madini,George Simbachawene (kulia) akikabidhiwa rasmi nyaraka za ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo,leo jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Na Chalila Kibuda,Globu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muhongo akabidhi ofisi kwa Simbachawene

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekabidhi rasmi wizara hiyo kwa waziri wa sasa, George Simbachawene, aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

 

9 years ago

Michuzi

DKT. MAYUNGA AKABIDHI OFISI LEO JIJINI DAR.

 Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Sellasie Mayunga akikabidhi ofisi mbele ya waandishi wa habari leo katika Makao Makuu ya Wizara, Dar es Salaam ambapo amemshauri Naibu Katibu Mkuu mpya DKT. Moses Kusiluka kushughulikia kwa ukaribu suala la mpaka wa Kimataifa wa eneo la Ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi kutokana na jambo hilo kuwa na maslahi makubwa ya Taifa.
Pia, amemsahuri Naibu huyo kutoa kipaumbele kwa ujenzi wa kituo cha kupokea picha za...

 

10 years ago

Michuzi

PROF. MUHONGO APATA WADHAMINI, JIJINI DAR

Mtangaza nia ya kutaka kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Sospeter Muhongo (kulia), akizungumza jambo na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Temeke, Robert Kerenge (kushoto), wakati alipofika Ofisi za chama hicho kwa ajili ya kutafuta wadhamini, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akimshuhudia Katibu Kata wa Kata ya Mtoni wa CCM, Said Kabuma (kulia), akijaza jina lake kumdhamini,...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Fenella Mukangara akabidhi vifaa vya Michezo kwa Shule za Sekondari jijini Dar leo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo mmoja wa wanafunzi waliowakilisha shule zao katika hafla hiyo leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni ya Vodacom Salum Mwalimu. Meneja Uhusiano wa Vodacom Salum Mwalimu(kushoto) akimkabidhi hundi ya mfano yenye thamani ya shilingi Milioni moja...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO.

 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira , January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura, na kushoto ni Katibu wa Bodi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), John Massawe. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikiliza...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI SIMBACHAWENE AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Waziri huyo alipofika kujitambulisha kwa Rais na kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Zanzibar, leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Ikulu jijini Zanzibar, leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani