PROF. MUHONGO APATA WADHAMINI, JIJINI DAR
Mtangaza nia ya kutaka kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Sospeter Muhongo (kulia), akizungumza jambo na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Temeke, Robert Kerenge (kushoto), wakati alipofika Ofisi za chama hicho kwa ajili ya kutafuta wadhamini, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akimshuhudia Katibu Kata wa Kata ya Mtoni wa CCM, Said Kabuma (kulia), akijaza jina lake kumdhamini,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--f_tW6sGZNQ/VMy10Y4cyHI/AAAAAAAHAg8/Sq9GI4UhiQA/s72-c/DSC_1008.jpg)
Prof. Muhongo akabidhi Ofisi kwa Simbachawene jijini dar leo
![](http://3.bp.blogspot.com/--f_tW6sGZNQ/VMy10Y4cyHI/AAAAAAAHAg8/Sq9GI4UhiQA/s1600/DSC_1008.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gW8SPwL1-_E/VMy4vQhIc7I/AAAAAAAHAhI/fEUyFYSZ02U/s1600/DSC_1042.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya...
10 years ago
GPLLOWASSA APATA WADHAMINI KWA KISHINDO DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-7gihMNqd4-8/VJhdkr5gRPI/AAAAAAAAVDA/dhJNfJv05x8/s72-c/1.jpg)
HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-7gihMNqd4-8/VJhdkr5gRPI/AAAAAAAAVDA/dhJNfJv05x8/s1600/1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6rChn-QJ6gM/VJhdx7TABQI/AAAAAAAAVDY/vyedmvEXjO4/s1600/12.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-85xjOsGLXKo/VJhdzYAjX1I/AAAAAAAAVDk/1KuPUy1fFNY/s1600/14.jpg)
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/alJLWH62eMS-NLx00o4VN1*j4J-kgXN2w4l3xHDuwB-MCRDi8Yxl9OSc1Ai4uD06brjEUwSE2P-7lFCF4lzO8lXrsOna-LGh/PROFMUHONGO.jpg?width=650)
MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qPqVjC2PQnI/VFyub2sYg0I/AAAAAAAGv9k/_g3OhrUzWak/s72-c/MMGM0007.jpg)
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuzinduliwa kesho jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-qPqVjC2PQnI/VFyub2sYg0I/AAAAAAAGv9k/_g3OhrUzWak/s1600/MMGM0007.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-CM_eh6OgOrc/VYHNgeXzQKI/AAAAAAAAVBg/TABNkEINlMw/s72-c/Mtwara%2Bdua.jpg)
LOWASSA APATA WADHAMINI LINDI, MTWARA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CM_eh6OgOrc/VYHNgeXzQKI/AAAAAAAAVBg/TABNkEINlMw/s640/Mtwara%2Bdua.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-SGq4qiH5gGg/VYHNhpliqmI/AAAAAAAAVBo/4rLyPWMTFHs/s640/Lowassa_Mwana%2BCCM%2Bmtwara.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-3_ZDdYUV514/VYHNlIfplRI/AAAAAAAAVBw/FqDNBWH9Frs/s640/Lowassa_sheikh.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-5Z36lqbSkx4/VYHNzLW-eiI/AAAAAAAAVCM/zlt0gGVPJfU/s640/Lindi4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-yyRjc_MBV-o/VYHNssR41PI/AAAAAAAAVB4/2_T8Xo_PkLI/s640/CCM_Lindi.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-B0bu35eFFoo/VYjWjfs4HjI/AAAAAAAARVs/ofne4TsA2L0/s72-c/E86A1489%2B%25281280x853%2529.jpg)
NYALANDU APATA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO
![](http://3.bp.blogspot.com/-B0bu35eFFoo/VYjWjfs4HjI/AAAAAAAARVs/ofne4TsA2L0/s640/E86A1489%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/--GOs64zKeec/VYjWz6bXu_I/AAAAAAAARW0/soA3gqEAudc/s640/E86A1546%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-RYHGT0v29ts/VYjW0MBdsdI/AAAAAAAARW4/DC1YABO3z8Q/s640/E86A1568%2B%25281280x853%2529.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Waziri Hawa Ghasia azinduwa bodi mpya ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF, jijini Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa, Hasa Mlawa, akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri wa Kazi na Ajira Gaudentia Kabaka akichangia jambo kwenye uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud Sanga akizungumza machache kwenye uzinduzi huo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8b9WEPYSkGIm9m66oF8zvnhSSQmDjrz0Crq8CFqM6klxFB1-tGPzFuR0M8FKBB1uKU0kBRNVnqJAipjkTR3HqenagdAP8sxf/WASTARA.jpg)
WASTARA APATA AJALI TENA TABATA JIJINI DAR