Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Muhongo akacha makabidhiano ya ofisi

prof muhongoNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wamekacha makabidhiano ya ofisi hatua iliyofanya mawaziri wapya kukabidhiwa ofisi na watendaji.
Mialiko iliyokuwa imetolewa, ilisema mawaziri hao wangekabidhi ofisi kwa wateule wapya, William Lukuvi, aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na George Simbachawene wa Nishati na Madini.
Kutokana na kutotokea kwa Profesa Muhongo, ilimlazimu Simbachawene akabidhiwe ofisi na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

11 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo acharuka

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.

 

10 years ago

Michuzi

MAKABIDHIANO YA OFISI KATI YA WAZIRI WA AFYA NA WAZIRI WA MIUNDOMBINU,ZANZIBAR

Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye kwa sasa ni Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji akimkabidhi Ripoti Waziri mpya wa Wizara ya Afya Rashid Seif Suleiman katika hafla ya kukabidhiana Ofisi iliyofanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja mjini Zanzibar.Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji wa Waizara ya Afya Juma Rajab Juma kulia akiwakaribisha Mawaziri wa Afya na Miundombinu katika hafla ya kukabidhiana Ofisi mawaziri hao baada ya kuteuliwa katika nafasi zao hivi karibuni.Aliyekuwa...

 

9 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo aibana TANESCO

Na Mohamed Saif
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani  mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Vita vya Profesa Muhongo

Sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow linaweza kuwa limefanya jina la Profesa Sospeter Muhongo kuzungumzwa sana na kuonekana amekuwa kwenye wakati mgumu tangu lilipoibuka, lakini ukweli ni kwamba lilikuwa hitimisho tu la matukio mengi tangu msomi huyo aanze kuongoza Wizara ya Nishati na Madini.

 

10 years ago

Habarileo

Hatimaye Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA PROFESA MUHONGO BUKOBA

Serikali imesema ifikapo mwaka 2018 Mfumo wa umeme katika Mkoa wa Kagera utakua umeingizwa kwenye Gridi ya Taifa. Hayo yalisemwa jana tarehe 27 Desemba na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara mjini Bukoba, Mkoani Kagera ili kukagua miundombinu ya umeme.  Ilielezwa kwamba Mkoa huo kwa sasa unapata umeme kutoka nchini Uganda ambao umekuwa ukikatika mara kwa mara na hivyo kulilazimu Shirika la TANESCO kutumia mitambo yake inayotumia mafuta ambayo hata hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

AREMA wampinga Profesa Muhongo

Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Arusha (Arema), kimepinga mpango wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wa kukifuta Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake (Tawoma) baada ya kupinga ongezeko la tozo kwa wachimbaji wadogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani