PSPF WAOMBOLEZA MSIBA WA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA MAREHEMU MGIMWA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF Bodi ya Wadhamini na Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unatoa salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Wizara ya Fedha na Familia ya aliyekuwa Waziri wa Fedha Marehemu Dkt. William A. Mgimwa Mfuko utamkumbuka kwa ushauri wake na ushirikiano aliouonyesha akiwa Waziri wa Fedha katika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
CHADEMA WAOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA
5 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU CCM AONGOZA VIONGOZI KUHANI MSIBA WA BABA WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE

