Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA, WILLIAM MGIMWA UMEWASILI JIJINI DAR

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWILI WA MAREHEMU WILLIAM MGIMWA WAAGWA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. William Mgimwa likiwa mbele ya waombolezaji. Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mama Salma wakiaga mwili wa marehemu Dk. Mgimwa.…

 

11 years ago

GPL

PSPF WAOMBOLEZA MSIBA WA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA MAREHEMU MGIMWA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF Bodi ya Wadhamini na Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unatoa salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Wizara ya Fedha na Familia ya aliyekuwa Waziri wa Fedha Marehemu Dkt. William A. Mgimwa Mfuko utamkumbuka kwa ushauri wake na ushirikiano aliouonyesha akiwa Waziri wa Fedha katika...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA DK MGIMWA WAAGWA JIJINI DAR

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa enzi za uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa kwa sasa unaagwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa maziko. Dk. Mgimwa alifariki dunia Januari 1 mwaka huu akiwa Hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. ...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA WAZIRI WA ZAMANI MEJA JENERALI KIMARIO UMEWASILI TAYARI KWA MAZISHI

 Meja Jenerali  Mstaafu Muhiddin Kimario.
Mwili wa aliyekuwa Waziri mwandamizi kwenye serikali ya awamu ya kwanza na pili Meja Jenerali (mstaafu) Muhiddin Mfaume Kimario umewasili leo mchana kwa ndege ya shirika la Ethiopia kutoka nchini India alikokuwa akipata matibabu tayari kwa mazishi siku ya Jumamosi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa Meja Jenerali Kimario uliwasili jana saa saba mchana kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (JKNIA) na ...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA DKT WILLIAM MGIMWA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt William Mgimwa viwanja vya Karimjee Hall jijini Dar es Salaam jana Januari 5, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma wakiaga mwili wa Dkt William Mgimwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani