"Ndoo "ya EPL, ManCity au Liverpool?
Kitendawili cha ubingwa ligi kuu ya England kuteguliwa Jumapili. Je,ni Manchester City au Liverpool atakayetwaa ubingwa?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Mancity yafika kileleni mwa ligi ya EPL
Mchezaji Frank Lampard alifunga bao la ushindi kupitia kichwa chake dhidi ya Sunderland na kuiweka Manchester City sawa na Chelsea
11 years ago
BBCSwahili31 Jul
Liverpool yailaza Mancity
Liverpool iliilaza Manchester City katika mechi ya kirafiki iliyochezwa Marekani.
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Liverpool kutoana jasho na Mancity
Mchezaji wa Liverpool Phillpe Coutino anarejea uwanjani siku ya jumapili baada ya kupumzishwa katika mechi dhidi ya Besikitas
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Mancity yawalenga nyota 3 wa Liverpool
Manchester City imemuorodhesha Phillipe Coutinho kama mchezaji wa tatu wanayepanga kumnunua kutoka kwa mahasimu wao Liverpool.
9 years ago
BBCSwahili18 Aug
Liverpool waichapa Bournemouth EPL
Liverpool imepata ushindi wa pili katika michuano ya ligi ya England dhidi ya timu ya Bournemouth
11 years ago
GPL11 years ago
TheCitizen09 Feb
Liverpool put Arsenal to the sword in EPL
Liverpool demonstrated that their Premier League title credentials are alive and kicking with a stunning 5-1 demolition of leaders Arsenal at Anfield yesterday.
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Unyonge wa Liverpool wa miaka 30 EPL wafikia kikomo
Subira vuta kheri - Subira ya liverpool ya miaka 30 ili kushinda kombe la ligi ya England imetimia baada ya klabu ya Manchester City kupoteza 2-1 dhidi ya Chelsea na hivyobasi kuwathibitisha The Reds kuwa mabingwa wapya wa ligi hiyo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuRerjwGraiRz-h1Z4cSO0TEd0--vJV7DKjXrzFO2AjOgTZihYtrBuSDCPsGAa6Q*l0B8fWiM4PGHums97aWbEvHH/LIVERPOOL.jpg)
MATOKEO EPL LEO: LIVERPOOL WASHIKA USUKANI
Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza Luis Suarez (wa pili kulia) baada ya kuwafungia moja ya bao dhidi ya Cardiff leo Jesus Navas akishangilia bao la tatu aliloifungia Manchester City dhidi ya Fulham leo.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania