"Turudishieni wasichana wetu"
Kampeni ya mtandao kushinikiza kuachiliwa wasichana takriban 200 waliotekwa na Boko Haram sasa imeenea katika maeneo mbali mbali
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Turudishieni shule zetu za vipaji maalumu
MWISHONI mwa miaka ya 1990 kulikuwa na utaratibu wa kupeleka wanafunzi katika shule zenye vipaji maalumu ili kuwapika zaidi katika fani mbalimbali kama sayansi, biashara na hisabati.
Shule zilizoogopwa ilikuwa ni Ilboru (Arusha), Tanga Technical (Tanga), Mzumbe (Morogoro), Kibaha (Pwani), Tabora Wavulana na Tabora Wasichana (Tabora), Kilakala Wasichana (Morogoro) na nyingine nyingi nilizizisahau hapa.
Wanafunzi waliopelekwa na kumaliza katika shule hizo walionekana makini, baadhi...