Radio kutoka Uganda ametuletea hii video mpya ‘ Nkwagala’ itazame hapa….
Radio kutoka Uganda amerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia Video yake mpya inayoitwa ‘Nkwagala’ iliyoongozwa na Jahlive Films. Unawea ukabonyeza play kuitazama hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na […]
The post Radio kutoka Uganda ametuletea hii video mpya ‘ Nkwagala’ itazame hapa…. appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Mabibi na Mabwana Prezzo katuletea hii video mpya ‘Mrembo’ itazame hapa….(+Video)
Rapper kutokea 254, Prezzo time hii ametuletea hii video yake mpya ya single iitwayo ‘Mrembo’ itazame hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram […]
The post Mabibi na Mabwana Prezzo katuletea hii video mpya ‘Mrembo’ itazame hapa….(+Video) appeared first on...
10 years ago
Vijimambo9 years ago
MillardAyo18 Dec
Ya nne kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown, ‘Picture Me Rollin’ imenifikia, itazame hapa!- (Video)
Baada ya kuachia video ya ‘Anyway’ jana December 17 2015, Chris Brown amerudi na nyingine mpya ikiwa ni muendelezo wa pale ilipoishia kwenye video ya awali. Wimbo unaitwa ‘Picture Me Rollin’ na miondoko ya wimbo huu unafanana na ile ya Dr. Dre kwenye ngoma yake ya mwaka 1993 ‘Let Me Ride’… Video mpya ya Chris […]
The post Ya nne kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown, ‘Picture Me Rollin’ imenifikia, itazame hapa!- (Video) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Mabibi na Mabwana Mb Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa…..
Unapolitaja jina la Mb Dog au Dog Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa kila mara. Sasa time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Sio Siri isikilize hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]
The post Mabibi na Mabwana Mb Dog katuletea hii single mpya ‘Sio Siri’ isikilize hapa….. appeared first on...
10 years ago
CloudsFM30 Jun
10 years ago
VijimamboHII NDIO VIDEO MPYA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ AFANYA NA HANSCANA
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Itazame fresh new single kutoka kwa Tiwa Savage; ‘African Waist’ feat. Don Jazzy – (Video)!
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani kwa mara nyingine tena. Album yake mpya RED ipo mtaani tayari ikiwa na ngoma nyingi kali pamoja na hii mpya; African Waist (feat. Don Jazzy) ambayo first lady wa Mavin Records anaisogeza kwetu official music video ya mdundo huo mpya. Kama […]
The post Itazame fresh new single kutoka kwa Tiwa Savage; ‘African Waist’ feat. Don Jazzy – (Video)! appeared first on TZA_MillardAyo.