Raia wa Burundi jela kwa kujiingiza daftari la kudumu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu raia wa Burundi, Michael Lubandaya (18) kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura akiwa si raia wa Tanzania.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 May
Raia 4 wa Burundi watupwa jela
RAIA wanne wa Burundi wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kila mmoja, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuishi nchini bila ya kuwa na kibali.
10 years ago
Michuzi
150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA MFUMO MPYA BVR

Aidha, imeeleza kuwa kata 130 zimeongezeka kutokana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufanya mabadiliko ya kiutawala katika kata, vijiji,vitongoji na Mitaa hivyo kulazimu NEC kuhairisha kwa wiki moja uandikishaji wa daftari uliokuwa ukianza jana kwa baadhi...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
10 years ago
Michuzi09 Mar
RATIBA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA MKOA WA NJOMBE
TANGAZO UBORESHAJI- NJOMBE
10 years ago
Vijimambo
5 years ago
Michuzi
NEC yatoa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura kwa mikoa 12

Shughuli ya utoaji wa mafunzo imefanyika kwa mikoa 12 nchini,na itakwenda sambamba na zoezi la uwekaji wazi wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza na uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awumu ya pili.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, wakati...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.
Lengo la...
10 years ago
MichuziSEMINA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA VIJANA WA WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA
Viongozi wa vyama vya siasa na Dini wametakiwa kuwashajiisha wafuasi wao kushiriki katika daftari la kudumu la wapiga kura ili kuweza kujikinga na matatizo mbali mbali yanayoweza kujitokeza ikiwemo kokosa haki zao. Amesema Daftari la kudumu la wapiga kura lipo kisheria si kwa matakwa ya kisiasa hivyo viongozi hao wanapaswa kutumia nafasi zao kuwaelimisha wafuasi wao kushiriki kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea...