Raia wa Scotland wakataa kujitenga na Uingereza
Scotland imefanya uamuzi wa mwisho wa kuendelea kuwa sehemu ya Uingereza ,kwa maamuzi ya kura ya maoni ambapo asilimia 55 ya raia wake kwa pamoja wamekataa uhuru wa moja kwa moja wa nchi hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilqnyCSsU-vqI0EwMl*NF*4*a8P90TrayAa7kTNbLB9kcp-XVM9liTTIPmLem*tUDD2z4vDt49PM6Q6h*oKeQG2Z/SCOTLAND.jpg?width=650)
10 years ago
BBCSwahili18 Sep
Scotland kubaki au kujitenga Uingereza
Upigaji kura ya maoni unakaribia kuanza Scotland kwa raia wa nchi hiyo kuamua kujitenga au kubaki kwenye himaya ya Uingereza.
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Wasiotaka kujitenga Scotland waongoza
Matokeo ya awali ya kura ya maoni ya uhuru wa Scotland yameanza kutolewa huku wasiotaka kujitenga wakiongoza.
10 years ago
BBCSwahili17 Sep
Paundi mjadala kujitenga Scotland
Huku raia wa Scotland wakitarajia kupiga kura ya maoni hapo kesho Paundi ni mojawapo ya masuala ambayo yamekuwa yakizungumzwa.
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
Kwa nini Scotland inataka kujitenga?
Kura ya maoni inaonyesha ushindani ni mkali kati ya wanaotaka muungano kuvunjwa na wanaotaka muungano kusalia.
10 years ago
BBCSwahili13 Sep
Benki zapinga kujitenga kwa Scotland
Kiongozi wa zamani wa chama kinachopigania uhuru wa Scotland, amezionya benki kwamba zitakabiliwa na wakati mgumu.
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Kadhaa ulaya : kujitenga kwa scotland na sinema ya mombasa-sehemu ya 4
Uingereza imechachamaa majuma machache yaliyopita. Ni kama Tsunami linakaribia.
11 years ago
Mwananchi17 Feb
Maaskofu wakataa ushoga Uingereza
>Maaskofu wakuu nchini Uingereza wamewaambia viongozi wa dini kwamba hawataruhusiwa kuingia katika ndoa za jinsia moja.
10 years ago
BBCSwahili14 Sep
Je,Scotland itajitenga na Uingereza?
Matokeo ya kura mpya ya maoni yanaonyesha kuwa upande wowote unaweza kuibuka mshindi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania