Rais abadilisha vituo wakuu wa mikoa, wapo wapya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine.
Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jioni ya jana, Jumatano, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego ambaye anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Dkt. Ibrahim Hamisi Msengi ambaye anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Bi....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-SInOcL6AKSI/U99C2B_G0ZI/AAAAAAAAVdc/O43EAk8WhEQ/s72-c/Copy+of+Picture1+-+Copy+-+Copy+-+Copy.png)
RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA ZAMANI AWAWEKA KIPORO, PIA ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE WAPYA WA WIZARA NA KUHAMISHA MMOJA.
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2156398/lowRes/670006/-/oe4wxmz/-/kikwete.jpg)
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
![](http://3.bp.blogspot.com/-SInOcL6AKSI/U99C2B_G0ZI/AAAAAAAAVdc/O43EAk8WhEQ/s1600/Copy+of+Picture1+-+Copy+-+Copy+-+Copy.png)
PRESIDENT’S OFFICE,STATE HOUSE,1 BARACK OBAMA ROAD,11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-U9MHjjlEWcY/VFtu1D7NXzI/AAAAAAAGvzA/pPKzgZeOo6I/s1600/unnamed%2B%2839%29.jpg)
RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-aEGBszvWfgk/VFqC8Mm9NHI/AAAAAAAArmc/Z7_QVP0NEL8/s1600/JK%2B3.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, MAKATIBU WAKUU WANNE
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Kikwete ateua wakuu wa mikoa wapya
10 years ago
Vijimambo26 May
RAIS ABADILISHA WAKUU WA WILAYA 10, DARRY RWEGASIRA AONDOLEWA KARAGWE, KYERWA YAPATA MPYA KUTOKA MKALAMA.
Rais Kikwete amemteua Bw Antony Mavunde kuwa mkuu wa wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, kuanzia leo jumatatu 25 may 2015, huku akifanya uhamisho wa wakuu wa wilaya 10 kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa wilaya mbalimbali nchini.
Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkuu wa wilaya Karagwe Darry Rwegasira, amepelekwa wilaya ya Biharamulo, huku Dc Misenyi Fadhil Nkulu, akipelekwa wilaya ya Mkalama.
Elias Choro John Tarimo, ametolewa Biharamulo kwenda Chunya mkoani Mbeya, huku Deodartus...
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
JK ateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.
Wakuu wa wilaya 13 walioteuliwa ni Shaaban Athuman Ntanambe ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa Kagera; Thabisa Mwalapwa ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara; Richard Kasesera ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mkoa wa Iringa, Ruth Msafiri ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma na...
10 years ago
Michuzi18 Feb
NEWS ALERT: RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27,WAPYA WAKIWEMO SHABANI KISU,PAUL MAKONDA,FREDRICK MWAKALEBELA
*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamani.
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Majina ya wakuu wa wilaya wapya na vituo vyao kama yalivyotangazwa na Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda.
ORODHA YA MA-DC 18.02.2015.doc by moblog