RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI GAMALA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi Mhe,Rajab Gamala alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha jana,[Picha na Ikulu.]
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBalozi wa COMORO NCHINI akutana na Rais Dk.Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo .Picha na Ikulu.
10 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mteule waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haulealipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
9 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika Ikulu Mjini Zanzibarkujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini...
9 years ago
MichuziBALOZI MTEULE MAKAKALA NCHINI ZIMBABWE AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala alipofika Ikulu Mjini Zanzibarkujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifuatana na Balozi mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt.Gen.Mstaafu Charles Makakala baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini...
10 years ago
MichuziBALOZI WA KUDUMU WA UMOJA WA MATAIFA AUGUSTINE MAIGA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani Mhe,Augustine Maiga alipofika Ikulu Mjini Unguja...
10 years ago
GPLDK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CUBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajiliya mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo… ...
11 years ago
MichuziDk. Shein akutana na Balozi wa Malawi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
9 years ago
Vijimambo21 Sep
DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ikulu.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania