Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Dk.Shein akutana na rais wa Comoro na Seychels

 Rais wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa ApiaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana   na Rais wa Seychels James Michel  baada ya mazungumzo walipokutana kwa   jana wakati vikao mbali mbali vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi wa COMORO NCHINI akutana na Rais Dk.Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo na Rais . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo .Picha na Ikulu.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Dkt.Shein akutana na Makamu Mkuu wa Rais ZTE, leo

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang Dabin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo na Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akifuatana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang Dabin,(kushoto) baada ya kumaliza mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akutana na Rais Shein, Mzee Mangula na Dkt. Bashiru, Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Juni, 2020 amekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika kikao cha ndani kilichofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS DK. SHEIN, MANGULA NA DK. BASHIRU ALLY, IKULU YA CHAMWINO, DODOMA, LEO

Rais Dk. Magufuli akiwa na Rais Dk. Shein. (Picha ya Maktaba)
Dk.CHAMW, Dodoma
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli amekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein katika kikao cha ndani kilichofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma, leo.

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally ambapo viongozi hao wamezungumzia...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN IKULU DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015  Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015RaisRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI GAMALA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi Mhe,Rajab Gamala alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha jana,[Picha na Ikulu.]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani