Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Goodluck kugombea tena urais

Rais wa Nigeria GoodluckJonathan amekuwa akikosolewa kwa kushindwa kushughulikia suala la wanamgambo wa Boko haram ipasavyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VURUGU ZAZUKA NCHINI BURUNDI BAADA YA RAIS NKURUNZIZA KUTEULIWA KUGOMBEA TENA URAIS

Waandamanaji wakiwa Mjini Bujumbura. Kumezuka ghasia katika Mji wa Bujumbura nchini Burundi kati ya maofisa wa polisi na waandamanaji wanaoishutumu serikali kwa kufanya mapinduzi ya kikatiba. Waandamanaji walirusha mawe na kuchoma matairi huku maofisa wa polisi wakilazimika kurusha mabomu ya machozi hewani. Ghasia hizo zinafuatia tangazo la jana kwamba Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameteuliwa na chama chake kuwania muhula wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bashir kugombea tena urais Sudan

Chama tawala nchini Sudan kimemteua Rais Omar al-Bashir kuwa mgombea wake katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Aprili mwaka ujao.

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ADAHAMINIWA TENA KUGOMBEA URAIS

 Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi fedha taslim Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais.  Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, cheti cha heshima kutokana na uongozi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Bouteflika kugombea Urais Algeria

Wananchi wa Algeria leo wanapiga kura kumchagua Rais mpya . Rais Abdelaziz Bouteflika anayeugua kiharusi anawania kwa muhula wa 4.

 

10 years ago

GPL

Vijana wapiganie sasa haki ya kugombea urais, Vijana wasisubiri wazee wawaruhusu kugombea urais

Patrice Lumumba. Julius Nyerere. Na Walusanga Ndaki
IJUMAA moja ya alasiri na kiangazi jijini Dar es Salaam, mwandishi wa makala hii ambaye sasa ana umri wa miaka 60 alikuwa akifanya mzaha wa kupiga danadana mpira wa miguu nje ya ofisi yao kabla ya kwenda kwenye mechi ya soka kati ya timu ya ofisi yake na taasisi moja ya habari. Mwandishi huyo alifanya hivyo kwa umahiri mkubwa kwa kama dakika tano mbele ya wafanyakazi wenzake...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ACHUKUA FORM YA KUGOMBEA URAIS


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais John Magufuli, leo amechukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama chake kushiriki katika kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Rais Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally kwenye Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dodoma.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa fomu hiyo, Rais Magufuli amesema anaanza mapema mchakato wa kutafuta wadhamini  ili awahi kurejesha fomu hiyo mapema.
Mwenyekiti huyo wa CCM amesema...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli achukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kugombea Urais

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Urais kwa Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe 17 JUNI 2020.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Rais Museveni atagombea Urais tena?

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema sio juu yake kuamua kuendelea kuwa kiongozi wa nchi hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Goodluck Jonathan aomba msaada

Serikali ya Nigeria inahitaji msaada wa dola billioni moja ili kukabilina na wanamgambo wa Boko Haram ambao wanazusha vurugu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani