RAIS JK ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA WA JESHI
![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uSctA9hcqtvvaw6QmWVGZ62K4SvRG5W6J7hlWljYbHklghFeii3R9Y5FH4jIlxO6WTFoMoWHMsZFAd9Q-bWYBjIEI/JK1.jpg?width=650)
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na kumpongeza Luteni Usu Edwin Engelbert Kessy wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni maafisa wa jeshi baada kuibuka mwanafunzi bora wakati wa mafunzo ya maafisa wa jeshi yaliyofanyika katika chuo cha jeshi Monduli mjini Arusha jana. Rais Kikwete akitunuku Kamisheni maafisa wa jeshi katika chuo cha Jeshi huko Monduli Mkoani Arusha jana. Jumla ya maafisa 171...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-O-fUdtZfvEw/VJXmn1FYLSI/AAAAAAAG4yY/vrh2ib3FuZE/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
JK atunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi
![](http://2.bp.blogspot.com/-O-fUdtZfvEw/VJXmn1FYLSI/AAAAAAAG4yY/vrh2ib3FuZE/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-HbmjSUywRjA/VJXmoGStkEI/AAAAAAAG4yg/jYKktZI0rLM/s1600/unnamed%2B(33).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vskxvd6-VBI/VfSBwYxfLxI/AAAAAAAH4Qo/b80IhqNzAPs/s72-c/unnamed%2B%252841%2529.jpg)
Raisi Kikwete atunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli, JWTZ wamzawadia
![](http://1.bp.blogspot.com/-vskxvd6-VBI/VfSBwYxfLxI/AAAAAAAH4Qo/b80IhqNzAPs/s640/unnamed%2B%252841%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/--em2NQpKHzI/VfSBzrqkGHI/AAAAAAAH4Qw/r4HqZ3OeNmc/s640/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9vkoA_oMuQ0/VfSB7fq3HNI/AAAAAAAH4Q8/-IUDJd93pf0/s640/unnamed%2B%252842%2529.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Afisa mwanafunzi bora Luteni Usu Antony Shija wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya leo katika chu cha jeshi TMA Monduli leo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-7Obb1Af4mTQ/VfSB7c5ioaI/AAAAAAAH4Rw/Xx2502dz1GI/s640/unnamed%2B%252843%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oUvphw4M330/U_naqcc9huI/AAAAAAAGCCA/prtVHdFqP0c/s72-c/D92A6818.jpg)
Rais Kikiwete atunuku Kamisheni Kwa maofisa wapya wa Jeshi
![](http://3.bp.blogspot.com/-oUvphw4M330/U_naqcc9huI/AAAAAAAGCCA/prtVHdFqP0c/s1600/D92A6818.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2uL9SwL_T64/U_nbSap5drI/AAAAAAAGCDA/8Uny0rfremg/s1600/D92A6822.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-oKf1akb7npw/U_naydQIveI/AAAAAAAGCCI/TGACYZdMRa0/s1600/D92A6849.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-8uB-31boxjc/U_nazk64-wI/AAAAAAAGCCQ/tDaQAaRSB2s/s1600/D92A6853.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-VmmgFaYvspI/U_na9lHSUGI/AAAAAAAGCCY/nHB4SrByYM4/s1600/D92A6874.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z*WFeROO64qEs02k8u2rQXYt1GRaNj40ydp2ayp6qJFQcxyUpkb-xpzEMwPxf9MhxJyrrh*dzk18Ox4qx-974hLPEGdbXvlT/jk.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI KWA MAOFISA WAPYA WA JESHI
10 years ago
Michuzi05 Jan
10 years ago
Vijimambo09 Nov
10 years ago
Dewji Blog19 Oct
Rais Kikwete ahitimisha mafunzo ya wakongo na atunuku kamisheni kwa watanzania 23
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya viongozi waliohudhuria sherehe hizo Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa Kitanzania 23 miongoni mwa maafisa 437 wa kundi la 53/13 – Kongo. Kundi hilo liliwajumuisha maafisa wa kitanzania wapatao 23 na wahitimu 414 kutoka Kongo.
Jumla ya wanajeshi 414 kutoka Jamuhuri ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MpEux4_mvfQ/VELtNd6DjvI/AAAAAAAGrwY/FzSUtrzCowg/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Rais Kikwete na Rais Kabila waongoza sherehe za Kuhitimu Maafisa Wapya wa Jeshi
![](http://2.bp.blogspot.com/-MpEux4_mvfQ/VELtNd6DjvI/AAAAAAAGrwY/FzSUtrzCowg/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-gucRIW0sJ0E/VELtNXW8DYI/AAAAAAAGrwg/_GWWLjXCfQ4/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
9 years ago
Habarileo13 Sep
JK atunuku kamisheni kwa maofisa 166
RAIS Jakaya Kikwete ametunuku kamisheni kwa maofisa wanafunzi 166 wa kundi namba 56/14 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha .
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10